Wadau wa JamiiForums na mionekano yao

Etc. Etc. Etc
 
utashindana lakini hutashinda
Usiku na mchana na kesha nikisali kila jaribu nalokutana nalo nilishinde.

Mungu alisema kesheni mkisali nanyi mtayashinda. Naamini yupo na mimi kwenye hili.

Ona kaanza kupaliwa.
 
Try this at your own risk!!

Kuna watu wakiona jina langu wanafikiria labla mimi ni bonge la mwizi! Hilo ni jina tu kama majina mengine...

Humu jf nilisha kutana na member mmoja tu.... Tena nilikutana nae mazingira ya kubahatisha sana.....
 
Wewe nahisi utakuwa upo kama Senga...!!
 
Try this at your own risk!!

Kuna watu wakiona jina langu wanafikiria labla mimi ni bonge la mwizi! Hilo ni jina tu kama majina mengine...

Humu jf nilisha kutana na member mmoja tu.... Tena nilikutana nae mazingira ya kubahatisha sana.....
Yapi na nani
 
una makubwa yako ww tofauti na ulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…