Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Hiyo shikamooo itoe hapo harakaOkey.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo shikamooo itoe hapo harakaOkey.
shikamooo
Hahaha. ...yaani wewe nitaisalimia labda maiti yako.Marahabaaaaa, haujambo mdogo wangu?
Milango ya fahamuDon't tell me ulidhani ni mimi
Teh teh teh teeeeeeh!!Hahaha. ...yaani wewe nitaisalimia labda maiti yako.
UNavyoninyima vilegee
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Teh teh teh teeeeeeh!!
Hello baby [emoji7]Haiya
Etc. Etc. EtcKuna mada flani Mshana Jr aliielezea kule inteligence forum kuhusu mapozi ni mipangilio ya watu jinsi walivyo kaa kwenye picha.
Alisema kuna nguvu flani ambayo ndio hua inamfosi mtu akae style gani na ajipange vipi kwenye picha.
***********/*******/*****
My Take.
Mimi naona kua kuna nguvu flani pia ndio humfosi mtu kuweka Avatar ya picha flani. Na mara nyingi ile avatar asilimia kubwa hubeba muonekano wake halisi.
Mfano. Mm nimemuweka hapa Wentworth miller kwasababu naona tunashare something common. I.e Ukimya. Upole. Etc
mi nakutaja unasema unapaliwa??Mbona mnanitaja taja hadi napaliwa!!
utashindana lakini hutashindaHahaha. ...yaani wewe nitaisalimia labda maiti yako.
UNavyoninyima vilegee
Usiku na mchana na kesha nikisali kila jaribu nalokutana nalo nilishinde.utashindana lakini hutashinda
Wewe nahisi utakuwa upo kama Senga...!!Habari
Nimekaa nimewaza kitu wengi wetu humu hatufahamiani physical zaidi ya kukutana humu kwa njia ya maandishi ila asilimia kubwa hatujawai kukutana.Mimi ni mmojawapo tangu nijiunge humu sijawai kukutana na mtu wa humu lengo la uzi huu ni kujaribu kuangalia wadau wa humu jf kwa majina yao na kujua jinsi walivyo kwa sura na maumbo,mfano
1.faizafoxy
Huyu ni mama mtu mzima maji ya kunde ni mnene kwa umbo sura yake muda wote kakasirika hata cha kutabasamu pia hupendelea kuvaa miwani.
2.BAK
huyu kwa jinsi ninavyomuona ni tall flani iv mweusi kama baraka the prince.
3.Nifah
huyu kama bold anavyomuitaga ni cheupe flani hivi.ana kishepu cha kimtindo kama jokate iv lakini sio sana ana pua nyembaba na macho ya wastani.
4.Miss chaga
Huyu ninavyomuona ni black beuty ila kidogo hajajaliwa chura yuko na umbo la wastani pia anapenda kunyoa low cut.
5.GENTAMICYNE nahisi nimekosea kuandika.
Huyu jamaa bana ni kama mtu mzima hivi sema anaonekana nk wale wafup kiumbo kama stamina au shiza kichuya.Huyu jamaa anaonekana anapenda kuvaa kipapaa kama wale watu wa kongo.
6.Joanah
ingawa kaweka avatar kadada flani kazuri sidhani kama yuko vile huyu kila nikimuona naona amafanana na rubby
7.evelyn salt
Madam mwalimu huyu anaonekana mrembo sana kwa mtazamo wangu.Niliwai ona kaolewa na dokta asilimia kubwa ya madokta hawaoi vibofu.sema huyu eve anaonekana mweupe sana.nahis tuu
8.mshanajr
Huyu mkuu ni mfupi kibonge ingawa hana tumbo kama le mutuzi
9.Nyagi ngabu
Haka kajamaa kanaokena hakana mwili ni kembamba kinoma japo ni kasukuma.vile vidharau vyake inaonekana hata yeye mwili wake hautaki
WADAU MALIZIENI mtaje mwanachama wa humu ambaye hajuwai kutana nae na muelezee unahisi yukoje...
Asante
Hahahawala haujamuonea anapenda hizo avatar dada nahisi yupo kwenye uchumba ujue mwenyewe nilikua najiuliza kwa nn anapenda hizo lazima kutakua na kitu
Yapi na naniTry this at your own risk!!
Kuna watu wakiona jina langu wanafikiria labla mimi ni bonge la mwizi! Hilo ni jina tu kama majina mengine...
Humu jf nilisha kutana na member mmoja tu.... Tena nilikutana nae mazingira ya kubahatisha sana.....![]()
Sio rahisi!!!Hahah...tumwombee kheri asije kumwagwa
una makubwa yako ww tofauti na ulivyoTry this at your own risk!!
Kuna watu wakiona jina langu wanafikiria labla mimi ni bonge la mwizi! Hilo ni jina tu kama majina mengine...
Humu jf nilisha kutana na member mmoja tu.... Tena nilikutana nae mazingira ya kubahatisha sana.....![]()
[emoji23][emoji23]Hahaha
Uchochezi huo
Namshangaa, haachiki hapa hata kwa kizizihahahh Daby sikuelewi mbona ya kumwaga hii mara ya pili unaweka na msisitizo