Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
niliondoka hapo baada ya kumaliza shuhuli iliyo nifikisha hapo kwa sasa niko moshi pazuri naona waudumu na watu wa jiko wako vizuri kwenye kujali mudaHata mm nipo kili marathon mkuu, hapa ni mwedo wa bia na nyama
Nautuambie ulikutwa na kisa gani hata ukaamua kiacha gambe?Alcohol free since January 1 2024.
Nautuambie ulikutwa na kisa gani hata ukaamua kiacha gambe?Alcohol free since January 1 2024.
Njoja nimwombe Ze Initiator huru atusaidie ili tuongeze mwanachana na kauli yetu ni "Kunywa beer okoa maji,tujikinge na mabadiliko ya tabia ya nchi,kiangazi kikali".Mcheki Poor Brain mumfundishe walau kunywa bia moja

Njoo tabata hotel kama upo darLocation?
Dah niko MsataNjoo tabata hotel kama upo dar
aisee basi walevi wa kili hawatuwakilishi vyemanipo kwenye tukio la kili marathon walevi vituko mnavyofanya hapa wanjani ni MUNGU aweke mkono wake tuh mambo ya hovyo kabisa
Mwandiko wa kilevi kabisa aisee kuna haja ya kuwa na jukwaa la waleviNiko na washkaji zangu tunapiga bombe na nyama joma. Karibuni wadau tujuumuike, tufahi.
Kwa umoja wetu tuwatenge kila tutakapo wakuta hadi pale watakapo kuwa tayari kuulinda umoja wetu popote pale tunapojumuika kama familia ya gambe.aisee basi walevi wa kili hawatuwakilishi vyema
Nyama joma.kwa uandishi huu naona pombe imeanza kufika mahala pake
Sio fahamu bro nakua bize mno na mwaka huu nimezingatia meditation sana kwa hiyo sitegemei kunywa pombe kwa siku za karibu ila wanywaji na waunga mkono ili mradi wasivunje tu sheria.
Wanasema upunguze kula😆Huko kwenye meditation wanasemaje kuhusu mimi?
Piga Pumbu mkuu.Nimeona moshi kumechafuka sana
View attachment 3246719