Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
niliondoka hapo baada ya kumaliza shuhuli iliyo nifikisha hapo kwa sasa niko moshi pazuri naona waudumu na watu wa jiko wako vizuri kwenye kujali mudaHata mm nipo kili marathon mkuu, hapa ni mwedo wa bia na nyama