Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Sasa mtu kupigwa huku amefungwa pingu[emoji134] ndo unashangilia! Hhahaha

Duniani kuna mambo.
 
Huyo reigns apigwe tu... Hata angekuwa kafungwa macho, maana ana sifa sana
Hahhaha...Kufungwa macho! Hahah

Mimi am always a fun of those who play fair.

Mtu akianza kuCheat cheat na janja janja[emoji134] namDISS..

Thats why Namshabikia NAKAMURA, ASUKA, ROMAN REIGN, SASHA BANKS. UNDERTAKER, JOHN CENA.
 
Hahhaha...Kufungwa macho! Hahah

Mimi am always a fun of those who play fair.

Mtu akianza kuCheat cheat na janja janja[emoji134] namDISS..

Thats why Namshabikia NAKAMURA, ASUKA, ROMAN REIGN, SASHA BANKS. UNDERTAKER, JOHN CENA.
Hao uliowataja wote nawakubali isipokuwa hilo moja tu linalojiita big dog [emoji240] [emoji240] Kumbe ni big mouse [emoji232] [emoji232]
 
Takwimu zinasemaje?Brock lesnar kampiga roman reigns Mara ngapi?kama ni ngumu kugugo je Roman reigns kampiga Brock lesnar Mara ngapi?tuache ushabiki wwe hamna wa kumpiga Brock na ukipata nafasi cheki YouTube randy na big show kidogo Brock awaue.Brock ashampiga roman wrestemamia,raw,akiwa na braunstorman na samjoe,Brock sio saiz ya dogo Roman. Brock is a killing machine
 
Wote wanaomshabikia Roman reigns hawajui Wrestling
 
Bado naamini strowman ana uwezo wa kumpiga the beast.
 
Mbona "The Best" alipigwa na "Goldberg"" ndani ya Dakika 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…