NaughtyGuy
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 1,747
- 1,939
Mkuu, miz ni janja janja tu ndo inamsaidia, nakuhakikishia hatachukua mda mrefu ametafuta AlliesThe miz akili mingi inabidi tukubali hilo, lile pambano lilihitaji ushindi siyo kupiga ndio maana MIZ anaenda kugombania money in Bank anamuacha Jeff, na ukumbuke Jeff tangu amerudi amekuwa akishnda ila kwa miz amezidiwa ujanja.
Mkuu hujawahi kuona pambano lao? Katafute YouTube ambulance match uone mkono wa maanaMkuu strawmen ni noma yule nahisi akikutana na Roman atamchakaza, straw ni noma
Mkuu umenikumbisha hiyo kauli ya Seth Rollins. Na kweli tangu siku hiyo amekuwa akitetea mkanda wake kila week. Sio kama lesnar ambaye ni coward kuzidi maelezo. Haonekani hata akipambana!Brock Lesnar ni coward anakwepa kupigana mara kwa mara kisa anaogopa kunyang'anywa mkanda!...."i don't wanna be anything like brock lesnar,i wanna be a fighting champion"-Seth rollins......Hapa Seth rollins aliongea ukweli unaouma kwa mashabiki wote wa Lesnar!~(Nimetumia matamshi ya Seth rollins hapa kusupport kauli yangu kuwa brock lesnar ni coward!)
Samoa joe? Be serious mkuuLevel ya lesnar ni kama Samoa Joe, Roman ni level ingine ile mzee
Mkuu Brock Lesnar yupo mafichoni!Mkuu umenikumbisha hiyo kauli ya Seth Rollins. Na kweli tangu siku hiyo amekuwa akitetea mkanda wake kila week. Sio kama lesnar ambaye ni coward kuzidi maelezo. Haonekani hata akipambana!
Siku hizi raw inafanana kama ina mkanda mmoja wa "Intercontinental championship" peke yake. Universal championship umetunzwa nyumbani kwa lesner anaonekana mara moja ndani ya miez mitatu
yule jamaa mbabe balaaLesnar ni roho ya paka nakumbuka aliwahi angushiwa meza yaani announcing table na Strowman akatolewa kwa Ambulance kufika njee akachomoka akarudi ulingoni na jamaa na kuchukua mkanda
Lesnar ni roho ya paka nakumbuka aliwahi angushiwa meza yaani announcing table na Strowman akatolewa kwa Ambulance kufika njee akachomoka akarudi ulingoni na jamaa na kuchukua mkanda
nasubilia mechi ya strawman na MacIntyreKwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....
Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...
Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
Tabia yake hii ya kubwebwa na Vince MacMahon na kukaa mafichoni inakera sana. Ndo maana simpendi.Mkuu Brock Lesnar yupo mafichoni!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 781441
Hii kitu amepost Seth rollins huko insta kumkejeli Sami Zayn!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Drew McIntyre ni moja ya watu nawakubali ila kwa strawman atasubiri sananasubilia mechi ya strawman na MacIntyre
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Hii kitu amepost Seth rollins huko insta kumkejeli Sami Zayn!![emoji23][emoji23][emoji23]
Reigns mbwa mkubwa kapewa jindre mahal maharajaa maana ndio size yake,brock lesnar hamwez ile size kubwa.apambane na hali yake hana akili kabisa
Hiz akilii izii[emoji119][emoji119][emoji119]Reigns kwa sasa hawezi mpiga rollings, saiz yake ndo hao kina jinder mahal, samoa joe au hata Elias hao ndo saiz yake.
Na usisahau kutupa taarifa kuwa unasoma tu coment ili tutambue uwepo wako!!!akichukua huo mkanda ....naahidi kuwa mwangiaji tu kwenye huu uzi....sita comment chochote.