Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Roma ndio face ya WWE na ndio Vince ameamua iwe hivyo. Sema hataki ionekane kama anampendelea so ndio maana now anashushwa chini ili watu wamchukie. Hatachukua Ubingwa karibuni maana hata Money in the bank hatagombania briefcase atakuwa anapigana na jinger mahal...hata summer slam nadhani itakuwa lesnar na bobby lashley..
Min the bank BIG MAMA WANGU atapigana na RONDAY LAWSEY sijui why wameliwahisha hili pambano nisingependa BIG mama linyang'anywe mkanda wake
 
The miz akili mingi inabidi tukubali hilo, lile pambano lilihitaji ushindi siyo kupiga ndio maana MIZ anaenda kugombania money in Bank anamuacha Jeff, na ukumbuke Jeff tangu amerudi amekuwa akishnda ila kwa miz amezidiwa ujanja.
Mkuu, miz ni janja janja tu ndo inamsaidia, nakuhakikishia hatachukua mda mrefu ametafuta Allies
 
Brock Lesnar ni coward anakwepa kupigana mara kwa mara kisa anaogopa kunyang'anywa mkanda!...."i don't wanna be anything like brock lesnar,i wanna be a fighting champion"-Seth rollins......Hapa Seth rollins aliongea ukweli unaouma kwa mashabiki wote wa Lesnar!~(Nimetumia matamshi ya Seth rollins hapa kusupport kauli yangu kuwa brock lesnar ni coward!)
Mkuu umenikumbisha hiyo kauli ya Seth Rollins. Na kweli tangu siku hiyo amekuwa akitetea mkanda wake kila week. Sio kama lesnar ambaye ni coward kuzidi maelezo. Haonekani hata akipambana!

Siku hizi raw inafanana kama ina mkanda mmoja wa "Intercontinental championship" peke yake. Universal championship umetunzwa nyumbani kwa lesner anaonekana mara moja ndani ya miez mitatu
 
Mkuu umenikumbisha hiyo kauli ya Seth Rollins. Na kweli tangu siku hiyo amekuwa akitetea mkanda wake kila week. Sio kama lesnar ambaye ni coward kuzidi maelezo. Haonekani hata akipambana!

Siku hizi raw inafanana kama ina mkanda mmoja wa "Intercontinental championship" peke yake. Universal championship umetunzwa nyumbani kwa lesner anaonekana mara moja ndani ya miez mitatu
Mkuu Brock Lesnar yupo mafichoni!
 
Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....

Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...

Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
nasubilia mechi ya strawman na MacIntyre
 
Cjapenda strawman kushindwa na akina MacIntyre j3 pia hata akina sami kumshinda bobby lashly
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
rps20180519_213557_410.jpg
 
Reigns mbwa mkubwa kapewa jindre mahal maharajaa maana ndio size yake,brock lesnar hamwez ile size kubwa.apambane na hali yake hana akili kabisa

Kwa kipgo alichokula juzii, sijui kma ata anakumbuka mtu anaeitwa roman reigns
Et jinder ndo saiz ya big dog,,, mshangaeni huyu mtu
 
Last pambano Roman vs Lesnar GRR saudi Roman won the match na alimbonda sana Lesnar ila kuna kanamna kalitokea tu...

baada ya game refa yule na kurt Angle waliomba radhi kwa kilichotokea...

Eti Roman size yake Mahal hapana tena kwa herufi kubwa eti one on one match Mahal atabebwa na Ambulance...

Braun & Lesnar ndio watam-challenge Roman sana, ila sana sana Huyu Lesnar braun miguvu mingi akili chache ndio maana mechi za qualification au za mikanda kuchukua ni ngumu.Ila braun kwa sasa naona amechange style ya upiganaji wake sio wa hasira hasira sana...

Rollins,aah i appreciate him.The guy is not coward aisee.
 
Back
Top Bottom