Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Screenshot_20180819-105713.png
 
DDT ya Ambrose kwa Drew Mcintyre haijamuacha Dolph Ziggler salama!!......Congratulations to our new IC champion Seth Rollins!
 
Kichapo alichokula Kevin Owens siyo cha nchi hii,namshukuru sana manager wa Raw kwa kuendelea kumdhibiti huyu jeuri kuhakikisha ule ujinga aliokuwa anaufanya kule Smack down yeye pamoja na Sami Zayn hauletwi raw!
 
Yeah tatizo matokeo yanapangwa.
Roman atashinda lakini (KO atashinda brifcase akisaidiwa na jinjer mahal then ata cash in usiku huo huo kwa roman) so mwisho wa siku KO ndo ataondoka na mkanda.
Camela atashinda tena.
Aj atashinda
Nakamura atashinda maana randy orton bado atakuja kumsumbua jeff hardy
Baron atapigwa na yule dogo(wanampandisha dogo hapa)
PAUL HEYMAN ataanza kuwa na KO au Stromam maana Brock.lesnar anarudi UFC baada ya summerslam.
Rowsey atashinda
Daniel byran atashinda
Dolph zigler atashinda.
NB:KUMBUKENI PIA WATU HUKO MBELE WANABETI KUHUSU MATOKEO SO HAWA WWE SOMETIMES WANABADILISHA MATOKEO DAKIKA ZA MWISHO KUTOKANA NA FUNGU LINAENDA WAPI( WANACHEZA PAMOJA NA BETTIG COMPANY NADHANI)
Bet lost..umeshapoteza

Ugiligili speaking.
 
Duh toka saa sita na check mpaka sasa sa kumi na moja asubuhi ila napenda the big dog ashinde
 
Back
Top Bottom