Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaonyeshwa supersport 4 na 8Ni supersport 4 mkuu, mdaa huo huo!!
Ndio naangalia hapa summer slam mubashara kabisa super sport 8
Hawa mbwa leo walikuwa wapigwe!!
Bet lost..umeshapotezaYeah tatizo matokeo yanapangwa.
Roman atashinda lakini (KO atashinda brifcase akisaidiwa na jinjer mahal then ata cash in usiku huo huo kwa roman) so mwisho wa siku KO ndo ataondoka na mkanda.
Camela atashinda tena.
Aj atashinda
Nakamura atashinda maana randy orton bado atakuja kumsumbua jeff hardy
Baron atapigwa na yule dogo(wanampandisha dogo hapa)
PAUL HEYMAN ataanza kuwa na KO au Stromam maana Brock.lesnar anarudi UFC baada ya summerslam.
Rowsey atashinda
Daniel byran atashinda
Dolph zigler atashinda.
NB:KUMBUKENI PIA WATU HUKO MBELE WANABETI KUHUSU MATOKEO SO HAWA WWE SOMETIMES WANABADILISHA MATOKEO DAKIKA ZA MWISHO KUTOKANA NA FUNGU LINAENDA WAPI( WANACHEZA PAMOJA NA BETTIG COMPANY NADHANI)