relax gentleman,Kibaraka ni wewe ambaye akili zako umezikabidhi kwa watu.
CDM hiyeeeeeee!Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
LA kuvunda halina ubani πWengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Lile la mbio za langalanga tenaHawaonekani ni vumbi tu.....
Wanapanga namna ya kuiba kura za CDM tunajua hilo sana.Chadema mna uchaguzi
CCM hawana uchaguzi wanapanga Safu ya Ushindi wa kishindo TU Kwenye uchaguzi mkuu ππ
Inapozungumzia mabwenyenye ,ukumbuke ndio walewale ambao serikali ya chama chenu inaenda KUHEMEA asilimia 40% ya kujazia bajeti ya kila mwaka!π πni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,
hata hivyo,
mambo mengine kwenye vyama vya siasa vya kisasa, yanafanyika kisayansi zaidi.
hakuna sababu hata moja wala haja ya kubabaika nao. Wako very formal, wako very disciplined, wako very united, wako very serious, wako focus na very uniform kuhakikisha jambo lao linakwenda kufanyika kwa salama na amani kwa mafanikio makubwa sana.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibarki Chadema. Pipoooooozπ
Wamekosea kwenye TimingWengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Kwanza Mbowe ni mpenzi wa ccm hivyo hakuna namna mkutano wa ccm ungekuwa gumzoCCM imechokwa kama Mbowe alivyochokwa Chadema
Uko sahihiChadema ndio chama kinachotegemewa na watanzania wote wanaoitakia mema
Mwe mwe mwe ! Lini tena hiiUnaona madhara ya kukaa madarakani muda mrefu, heshima yako inashuka sana
View attachment 3198501
Watu wanamtakia kifo naonaMwe mwe mwe ! Lini tena hii
πππππLA kuvunda halina ubani π