Pre GE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

Pre GE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kibaraka ni wewe ambaye akili zako umezikabidhi kwa watu.
relax gentleman,
hutuba ya kibaraka wa mabenyenye ya magharibi mbele ya wanaombackup iliwafanya hata mambwenyenye yanayombackup yamdharaua,

huenda wakamdump kabisa atakaposhindwa uchaguzi huo muhimu sana wa chadema ngazi ya taifa.

ni vizuri mkalijua hilo my friends, ladies and gentlemen in politics 🐒
 
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

View attachment 3198445

Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.

Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
CDM hiyeeeeeee!
 
CCM wamefanya kosa kubwa kuitisha mkutano mkuu wakati ambapo CDM wana kinyang’anyiro cha kihistoria cha uchaguzi mkuu.

Watu hawajui kinachoendelea CCM muda huu wengi wamejikita wakifuatilia uchaguzi mkuu CDM.

Ni nini maana ya yote haya? Inaonekana CDM ndio chama kikuu cha siasa kwani watu wengi wanafuatilia kwa karibu sana yanayoendelea CDM na kusahau kabisa mambo ya CCM.
 
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

View attachment 3198445

Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.

Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
LA kuvunda halina ubani 😂
 
Chadema mna uchaguzi

CCM hawana uchaguzi wanapanga Safu ya Ushindi wa kishindo TU Kwenye uchaguzi mkuu 😂😂
 
Sababu za kupuuzwa mkutano mkuu wa CCM ni kwasababu hakuna jipya huko na kama Lissu akigombania nafasi ya uraisi wa jamhuri mwaka huu Mama anarudi kizimkazi.
 
ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,

hata hivyo,
mambo mengine kwenye vyama vya siasa vya kisasa, yanafanyika kisayansi zaidi.

hakuna sababu hata moja wala haja ya kubabaika nao. Wako very formal, wako very disciplined, wako very united, wako very serious, wako focus na very uniform kuhakikisha jambo lao linakwenda kufanyika kwa salama na amani kwa mafanikio makubwa sana.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibarki Chadema. Pipooooooz🐒
Inapozungumzia mabwenyenye ,ukumbuke ndio walewale ambao serikali ya chama chenu inaenda KUHEMEA asilimia 40% ya kujazia bajeti ya kila mwaka!😅😅
Inaonekana wewe ni LIPUMBAVU lenye wivu, mtu kuhusiana kuwa na affiliation na unaowaita MABWENYENYE SIO SAWA, ila nyie Kwenda kuombaomba hela ya kujazia bajeti ni sawa eheee!!🤔🤔🤔
Kweli UJINGA NI MZIGO ZAIDI YA ZIGO LA VIMA=M.V.IIIIIII😅😅😅🚴🚴😅
 
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

View attachment 3198445

Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.

Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Wamekosea kwenye Timing
 
Back
Top Bottom