Pre GE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Unaweza kuwa mwandishi wa habari hata miaka 30+ ila kumbe ni kanjanja, infact waandishi wa habari Tz ni failures almost 99% ulizia..!! CCM hata haijawahi fifishwa au kufunikwa na Chama chochote cha Upinzani hadi sasa.
 
Unaweza kuwa mwandishi wa habari hata miaka 30+ ila kumbe ni kanjanja, infact waandishi wa habari Tz ni failures almost 99% ulizia..!! CCM hata haijawahi fifishwa au kufunikwa na Chama chochote cha Upinzani hadi sasa.
Haya
 
Kwa sababu nyingi; mosi ni tuhuma nzito za rushwa ambazo zimewaduwaza watu kutoka chama kilichojinasibu kupiga vita rushwa. Pili, ni kushangaa matusi ambayo awali tulijua baadhi ya vijana wa Chadema wanatukana tu viongozi wa serikali na CCM; kumbe hadi viongozi wao wanawapa spana za matusi na tatu, kutishiana na kutovumiliana kumbe hakuna demokrasia. Watu wakikufuatilia jitathimini ni kwa mtazamo hasi au chanya?🙏🙏🙏
 
Kinachowavuta watu ni timbwili la Lissu na Mbowe lisingekuwepo Wala tusingelijua kama Kuna kikao
 
CCM kimekuwa Chama cha Mapolisi CCM kimekuwa Chama cha "wasiojulikana".

Kinalazimisha kukaa madarakani hakina ridhaa ya Wananchi.

Ni kwanini kisifunikwe na CHADEMA?
 
NI ISHARA YA KUWAPA UJUMBE CHADEMA KUWA CCM NI CHAMA MAKINI HAKIHITAJI MAKELELE KAMA YA CHADEMA VIONGOZI MAKINI WA CCM WAKO KUONGOZA NCHI NA SIYO KUPIGA KELELE NA KUTAFUTA KIKI SASA ONA WENYEVITI WA CHADEMA MMOJA ANAONA AIBU MWINGINE ANAJIKAZA TU NA KICHEKO KAMA ANATAKA KULIA NA KUCHEKA KWA PAMOJA
 
Yaan kama CHADEMA watamchagua Tundu Antipas Lisu,chances za CCM kuanguka ni wazi kabisa.
Shida itakuwepo kama mzee Mbowe atapita tena. Apo itakuwa CCM imeshinda tena.
 
CHADEMA wangekua wanafanya chaguzi za ushindani kama hivi ingewapa mileage sana
 
Na hapa ndipo ninapowavulia kofia ccm. Wakiwa na jambo lao la maana la kufanya watajifanya kama hawapo vileeee, wapumbavu na malofa wataruka na kukanyagana wakishangilia wasilolijua.......kutahamaki, wanawaona ccm waleeee juu kuleee wakishangilia.
CCM Ina hazina kubwa mnoooo ya vichwa mbalimbali.....kule kwingine Kila nikiangalia naona kundi la nyumbu tu.
 
Chadema kuna ugomvi na kurushiana tuhuma na mitusi; kwani ccm nao wana ugomvi? Au wewe hujui kuwa kila penye ugomvi huwa panavutia watu?
 
Tatizo huko chadema kuna fukuto ndo maana imekuwa habari.
 
Tukiseama cdm chini ya mwamba MBOWE ni moto wa kuoteambali mnasema ni ,achawa ,MBOWE kajenga taasisi inayovuta makindi yote kiukweli kama uchaguzi huu utapita salama basi cdm ianaenda kushika dola
 
Tukiseama cdm chini ya mwamba MBOWE ni moto wa kuoteambali mnasema ni ,achawa ,MBOWE kajenga taasisi inayovuta makindi yote kiukweli kama uchaguzi huu utapita salama basi cdm ianaenda kushika dola
Duuu
 
Kumbe kulikua na mkutano wa kitaifa CCM ndio nimejua leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…