Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Unaweza kuwa mwandishi wa habari hata miaka 30+ ila kumbe ni kanjanja, infact waandishi wa habari Tz ni failures almost 99% ulizia..!! CCM hata haijawahi fifishwa au kufunikwa na Chama chochote cha Upinzani hadi sasa.