Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

CCM chama chetu hakikisheni huyu jamaa anapata matibabu coz huyu atakua sehem ya next phase generation ya wachapskazi ndani ya chama ambao taifa litajivunia!

Tusiue vipaji ndani ya chama!chama kinahitaji constructive criticism Ili kiendane na mabadiliko ya kisasa!

Tunaomba sana sana kijana atibiwe uwepo wake ni muhimu sana ndani ya chama na taifa kwa ujumla!
 
mashetani na maizi yamejaa kwenye uongozi, na tunayashangilia na kuyaabudu wakati yanatusua pesa zetu, barabara mbovu, shule mbovu, watoto wanakosa mikopo vyuoni, na wao wanatembelea magari ya kifahari na kuishi maisha ya kifahari kuliko hata watu wa ulaya. tunahitaji ukombozi wa fikra kwakweli.
 
Hakujitoa ufahamu Ili Aishi na wenzie vizuri,pole Sana Kwa ndugu yetu
 
Akipona;mwambieni Tanzania ni nchi ya Kifalme kwa vitendo na Demokrasia kwa maneno!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kikulacho ki nguoni mwako
 
Picha ya karibuni ya Kada
 

Attachments

  • FB_IMG_1697653007737.jpg
    36.1 KB · Views: 9
Umemaliza kila kitu .
 
Ukishakuwa Mateka unaamrishwa kuandika chochote watakacho .

Roma alipotekwa siku chache baada ya kuonekana alitumbuiza Ikulu kwa hisani ya Makonda

Cha kushangaza siku chache baada ya tukio hilo akakimbia nchi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…