Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi.

Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?

Screenshot_2023-10-13-21-57-24-1.png
 
Takribani zaidi ya wiki tatu (3), Kada maarufu wa CCM kwenye Mitandao ya kijamii Cde Thadei Ile Mushi hajaonekana.

Kada hayu mara ya mwisho alituma post yake face yenye kichwa "CCM Tusitumie Akili za Nape kwenye uchaguzi 2025 tutapoteana"

Pia kwa nyakati tofauti amekuwa mkosoaji wa kauli ya baadhi ya viongozi wa chama cha mapinduzi.

Moja ya ukosoaji ni Ole Mushi ampinga vikali Chongolo asema Katiba Mpya si mali ya chama chochote ni mali ya wananchi

Baada ya ujumbe huo mpaka hivi leo hajapost tena habari yoyote kwenye accounts zake.

Watu mbalimbali wamekuwa wakituma jumbe kwenye accounts zao kuulizia alipo kada huyu.

Moja waliotuma jumbe za kutaka kujua alipo Ile Mushi ni Malisa G, James Mbowe
 
Alijianika mno

Walivyo CCM muda huu atakuwa wanahesabu kunyanzi za mfuko wake wa gololi huko kusikojulikana.

Ni jinai mwanaCCM kuikosoa CCM hadharani, ataambiwa atumie vikao halali. Ukiuliza vikao vipi hivyo kwa asiye kiongozi? Ataishia kupimwa mkojo🤣
 
Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za ccm , Bwana Thadei Ole Mushi.

View attachment 2781579
Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa ?
Watu wanamuulizia mtu mmoja ni mpiga kiwi pale ufipa anaitwa Mmawia yupo wapi kama ni bundle atoe namba!
 
Alijianika mno

Walivyo CCM muda huu atakuwa wanahesabu kunyanzi za mfuko wake wa gololi huko kusikojulikana.

Ni jinai mwanaCCM kuikosoa CCM hadharani, ataambiwa atumie vikao halali. Ukiuliza vikao vipi hivyo kwa asiye kiongozi? Ataishia kupimwa mkojo🤣
Kwamba atakuwa kauawa ?
 
Back
Top Bottom