Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

Pumzika kwa amani Thadei Ole Mushi, mwanzo zilizuka taarifa kwamba umetekwa ukaonekana, baadae ikatoka taarifa kwamba umaumwa ugonjwa wa moyo, leo imetoka taarifa umefariki Dunia, R.I.P Mungu anajua ukweli wa kuondoka kwako duniani.
FB_IMG_1707045281859.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alijianika mno

Walivyo CCM muda huu atakuwa wanahesabu kunyanzi za mfuko wake wa gololi huko kusikojulikana.

Ni jinai mwanaCCM kuikosoa CCM hadharani, ataambiwa atumie vikao halali. Ukiuliza vikao vipi hivyo kwa asiye kiongozi? Ataishia kupimwa mkojo[emoji1787]
[emoji1787]
 
Alijianika mno

Walivyo CCM muda huu atakuwa wanahesabu kunyanzi za mfuko wake wa gololi huko kusikojulikana.

Ni jinai mwanaCCM kuikosoa CCM hadharani, ataambiwa atumie vikao halali. Ukiuliza vikao vipi hivyo kwa asiye kiongozi? Ataishia kupimwa mkojo🤣
Daaaah
 
Back
Top Bottom