Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Aisee[emoji23]Je unajiuliza maswali mengi mfano:
Nitaweza kutrade forex ?
Nitakuwa profitable forex trader?
Hivi hii ni fursa/carrier sahihi?
Kwanini nisiache tu hii biashara?
Na mengine mengi kama hayo njoo inbox nikupe dawa
Mkuu tumwagie huo upupu hapahapa kwa faida ya wengiJe unajiuliza maswali mengi mfano:
Nitaweza kutrade forex ?
Nitakuwa profitable forex trader?
Hivi hii ni fursa/carrier sahihi?
Kwanini nisiache tu hii biashara?
Na mengine mengi kama hayo njoo inbox nikupe dawa
sasa wakiwashwa napata faida gani?😂Mkuu tumwagie huo upupu hapahapa kwa faida ya wengi
Naomba kujibu kwa faida ya wengi kipindi sisi tunabishana kuna watu wapo kimya wanaingiza pesa ya kutosha kwenye forex na wanaendesha maisha yao kupitia forex .Kwa uelewa wangu japo sio lazima ufuate kile ninachosema ,forex ni biashara kama biashara zingine tena ni biashara inayohitaji maarifa haswaa sio lelemama.tatizo unaweza kukuta mtu amesikia forex inalipa anajiingiza kwenye forex kichwakichwa bila kuwa na ujuzi wa kutosha kuhusu how to trade forex,matokeo yake anajikuta anashindwa na kupoteza mwishowe anaanza kulalamika na kuwaaminisha wengine kuwa forex ni kamali mara ni utapeli wakati mtu alishindwa kusoma na kupata maarifa ya kutosha ndio aingie sasa kwenye forex .Mwisho kwa dunia ya sasa kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lolote tafadhali lifuatilie haswaaa soma,uliza,jaribu ndipo ufanikiwe.Narudia neno langu sio sheria unaweza ukafuata au ukaacha kufuata piaFanya kazi ww
Kamali izo ww
Naomba kujibu kwa faida ya wengi kipindi sisi tunabishana kuna watu wapo kimya wanaingiza pesa ya kutosha kwenye forex na wanaendesha maisha yao kupitia forex .Kwa uelewa wangu japo sio lazima ufuate kile ninachosema ,forex ni biashara kama biashara zingine tena ni biashara inayohitaji maarifa haswaa sio lelemama.tatizo unaweza kukuta mtu amesikia forex inalipa anajiingiza kwenye forex kichwakichwa bila kuwa na ujuzi wa kutosha kuhusu how to trade forex,matokeo yake anajikuta anashindwa na kupoteza mwishowe anaanza kulalamika na kuwaaminisha wengine kuwa forex ni kamali mara ni utapeli wakati mtu alishindwa kusoma na kupata maarifa ya kutosha ndio aingie sasa kwenye forex .Mwisho kwa dunia ya sasa kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lolote tafadhali lifuatilie haswaaa soma,uliza,jaribu ndipo ufanikiwe.Narudia neno langu sio sheria unaweza ukafuata au ukaacha kufuata pia
Huu ni mtazamo wako, kwa ufahamu wako ulipoishia, hivyo sidhani kama ni busara kuwafanya wengine wakubaliane na mtazamo wako, kwa ukomo wa ufahamu wako ulipo ishia.
Je una maanisha nini unaposema movement ya exchange rate!uwe na weledi wa kusoma movement ya exchange rates!!!
Iyo sio biashara mkuu
Kumtafuta mtu Ili upate hela kupitia mtu huyo ni biashara kweli tena sio mtu watu wawili
Yaani kweli kabisaaa!!
Je una maanisha nini unaposema movement ya exchange rate!
Your rightHapo ndiyo umeandika nini sasa? Hapa nilipo ka akaunti langu ka volatility tayari kanasoma 334 blue!! Na ndiyo kwanza najifunza,siyo lazima iwe wewe! Acha wengine wafanye yao mkuu
Mkuu currency trading zipo manipulated sana na markert makers.Baada ya kupata loss kidogo nikakaa benchi kujitafakari kidogo!
Nilichogundua:
1/ Hakuna biashara isiyokua na hasara.
2/ Hasara inapaswa kuichukulia kama changamoto na utafute solutions ulipokosea.
3/ Ukiwa mfanyabiashara kuna kupata na kukosa.
4/ Utulivu na uvumilivu unaitajika sana ili kupiga hatua.
Sasa wananzengo wenzangu wa forex nipeni moyo na ushauri nataka nitumie muda mwingi sana kusoma na kugoogle pamoja na kuangalia videos youtube ili niludi kivingine kwenye biashara yetu ya forex. Karibuni
Baada ya kupata loss kidogo nikakaa benchi kujitafakari kidogo!
Nilichogundua:
1/ Hakuna biashara isiyokua na hasara.
2/ Hasara inapaswa kuichukulia kama changamoto na utafute solutions ulipokosea.
3/ Ukiwa mfanyabiashara kuna kupata na kukosa.
4/ Utulivu na uvumilivu unaitajika sana ili kupiga hatua.
Sasa wananzengo wenzangu wa forex nipeni moyo na ushauri nataka nitumie muda mwingi sana kusoma na kugoogle pamoja na kuangalia videos youtube ili niludi kivingine kwenye biashara yetu ya forex. Karibuni
Iyo sio biashara mkuu
Kumtafuta mtu Ili upate hela kupitia mtu huyo ni biashara kweli tena sio mtu watu wawili
Yaani kweli kabisaaa!!
Forex ni mitandao ya kishetani tu hio
Fanya kazi jitume usiangalie watu wanakuangaliaje
Watanzania tunapenda usharobaro sana
Tembeza vitu uza kwa juhudi tafuta kazi ata
Beba ata tofali if possible ACHENI kupenda mafanikio ya haraka fanya kazi kwa bidii
NARUDIA BIDII NA ULINZI WA MUNGU VINATOSHA SANA
Achana na ujinga huo wezi tu hao
Siku hizi sina presha kabsa na sichomi tena account natageti only 5% of my capital yaani nikiwa na mtaji wa $100 naweka lot ya 0.10 then ngoma ikifika kuanzia 5 to 10 pips natoka zangu yaanì hapo kwa mwezi ninadable account na kingine nilichokifanya ni kuwa na account tofaut na ninazo tatu moja ni ya matumizi y kila siku nyingine ya ujenzi na nyingine natembea nayo mwaka mzima, so hebu jaribu kufikiria kila mwezi acount inakuwa dabod kwa mwaka itakuwa ngap na strategy yangu ni simpo sana nafanya top down analisis from d1 to 15 na entry zangu ni 15 hapo ni kugusa tuu nishapata changu then nakaa pembeni
Your RightAcha kukulupuka na kubisha vitu usivovijua, hayo ya kumtafuta mtu sijui watu wawili unayatoa wapi? fatilia kwanza forex ni nn ndo ubishe
Najinoa zaidi kupata mkakati mzuri zaidi nitakapoludi kwenye biashsra