Wadau wenzangu wa Forex...

Wadau wenzangu wa Forex...

Je unajiuliza maswali mengi mfano:

Nitaweza kutrade forex ?
Nitakuwa profitable forex trader?
Hivi hii ni fursa/carrier sahihi?
Kwanini nisiache tu hii biashara?

Na mengine mengi kama hayo njoo inbox nikupe dawa
Aisee[emoji23]
 
Mkuu tumwagie huo upupu hapahapa kwa faida ya wengi
 
Fanya kazi ww

Kamali izo ww
Naomba kujibu kwa faida ya wengi kipindi sisi tunabishana kuna watu wapo kimya wanaingiza pesa ya kutosha kwenye forex na wanaendesha maisha yao kupitia forex .Kwa uelewa wangu japo sio lazima ufuate kile ninachosema ,forex ni biashara kama biashara zingine tena ni biashara inayohitaji maarifa haswaa sio lelemama.tatizo unaweza kukuta mtu amesikia forex inalipa anajiingiza kwenye forex kichwakichwa bila kuwa na ujuzi wa kutosha kuhusu how to trade forex,matokeo yake anajikuta anashindwa na kupoteza mwishowe anaanza kulalamika na kuwaaminisha wengine kuwa forex ni kamali mara ni utapeli wakati mtu alishindwa kusoma na kupata maarifa ya kutosha ndio aingie sasa kwenye forex .Mwisho kwa dunia ya sasa kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lolote tafadhali lifuatilie haswaaa soma,uliza,jaribu ndipo ufanikiwe.Narudia neno langu sio sheria unaweza ukafuata au ukaacha kufuata pia
 
Iyo sio biashara mkuu
Kumtafuta mtu Ili upate hela kupitia mtu huyo ni biashara kweli tena sio mtu watu wawili

Yaani kweli kabisaaa!!

Leo wazee wa volatility index kama nawaona
Screenshot_20191004-125257.jpeg
 
Ambao hawaamini waendelee kukaza fuvu[emoji857][emoji857]
IMG_20191004_151555_985.jpeg
 
Huu ni mtazamo wako, kwa ufahamu wako ulipoishia, hivyo sidhani kama ni busara kuwafanya wengine wakubaliane na mtazamo wako, kwa ukomo wa ufahamu wako ulipo ishia.

Ili kufanikiwa kwenye biashara ya FOREX inahitaji uwe na weledi wa kusoma movement ya exchange rates!!! Ama sivyo utalizwa kila siku mpaka utakula mbegu!!
 
Hapo ndiyo umeandika nini sasa? Hapa nilipo ka akaunti langu ka volatility tayari kanasoma 334 blue!! Na ndiyo kwanza najifunza,siyo lazima iwe wewe! Acha wengine wafanye yao mkuu
Iyo sio biashara mkuu
Kumtafuta mtu Ili upate hela kupitia mtu huyo ni biashara kweli tena sio mtu watu wawili

Yaani kweli kabisaaa!!
 
Je una maanisha nini unaposema movement ya exchange rate!

Movement ya Exchange Rate maana yake" kubadilka kwa bei za fedha za kigeni"!! Unatakiwa ujue ufanye nini bei hiyo inapopanda na pale inaposhuka!!! YOU MUST KNOW WHEN TO HOLD AND WHEN TO FOLD!!!!
 
Baada ya kupata loss kidogo nikakaa benchi kujitafakari kidogo!

Nilichogundua:
1/ Hakuna biashara isiyokua na hasara.
2/ Hasara inapaswa kuichukulia kama changamoto na utafute solutions ulipokosea.
3/ Ukiwa mfanyabiashara kuna kupata na kukosa.
4/ Utulivu na uvumilivu unaitajika sana ili kupiga hatua.

Sasa wananzengo wenzangu wa forex nipeni moyo na ushauri nataka nitumie muda mwingi sana kusoma na kugoogle pamoja na kuangalia videos youtube ili niludi kivingine kwenye biashara yetu ya forex. Karibuni
Mkuu currency trading zipo manipulated sana na markert makers.

Karibu kwenye ulimwengu wa volatility index
 
Kaka mkuu mpaka sasa uneendeleaje na Forex
Baada ya kupata loss kidogo nikakaa benchi kujitafakari kidogo!

Nilichogundua:
1/ Hakuna biashara isiyokua na hasara.
2/ Hasara inapaswa kuichukulia kama changamoto na utafute solutions ulipokosea.
3/ Ukiwa mfanyabiashara kuna kupata na kukosa.
4/ Utulivu na uvumilivu unaitajika sana ili kupiga hatua.

Sasa wananzengo wenzangu wa forex nipeni moyo na ushauri nataka nitumie muda mwingi sana kusoma na kugoogle pamoja na kuangalia videos youtube ili niludi kivingine kwenye biashara yetu ya forex. Karibuni
 
Acha kukulupuka na kubisha vitu usivovijua, hayo ya kumtafuta mtu sijui watu wawili unayatoa wapi? fatilia kwanza forex ni nn ndo ubishe
Iyo sio biashara mkuu
Kumtafuta mtu Ili upate hela kupitia mtu huyo ni biashara kweli tena sio mtu watu wawili

Yaani kweli kabisaaa!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Forex ni mitandao ya kishetani tu hio

Fanya kazi jitume usiangalie watu wanakuangaliaje

Watanzania tunapenda usharobaro sana

Tembeza vitu uza kwa juhudi tafuta kazi ata
Beba ata tofali if possible ACHENI kupenda mafanikio ya haraka fanya kazi kwa bidii

NARUDIA BIDII NA ULINZI WA MUNGU VINATOSHA SANA

Achana na ujinga huo wezi tu hao
 
SAFI SANA MKUU NIPENDA ULIVYOTENGA ACC ZAKO MWAKANI NAANZA HUO MPANGOO KUWA NA ACC 1 NI RISK SANAAA
Siku hizi sina presha kabsa na sichomi tena account natageti only 5% of my capital yaani nikiwa na mtaji wa $100 naweka lot ya 0.10 then ngoma ikifika kuanzia 5 to 10 pips natoka zangu yaanì hapo kwa mwezi ninadable account na kingine nilichokifanya ni kuwa na account tofaut na ninazo tatu moja ni ya matumizi y kila siku nyingine ya ujenzi na nyingine natembea nayo mwaka mzima, so hebu jaribu kufikiria kila mwezi acount inakuwa dabod kwa mwaka itakuwa ngap na strategy yangu ni simpo sana nafanya top down analisis from d1 to 15 na entry zangu ni 15 hapo ni kugusa tuu nishapata changu then nakaa pembeni
 
Back
Top Bottom