Wadau wenzangu wa Forex...

Wadau wenzangu wa Forex...

Hyo hapo (10% daily profit challenge) nimeweka kianzio $100 ila unaweza kuanza kiasi chochote..nenda kwenye month one sheet mwanzo weka kiasi chochote itacalculate daily/weekly/monthly profit automatically....cha msingi hapa ni discipline...kwa mfano labda ukitengeneza weekly profit kwa siku moja....basi siku nne zilizosalia usiforce trades....tafuta tena setup nzuri hata kwa siku zote nne....ukipata loss dont revenge.... it has never worked and it will never....kaa mbali na charts for a while..

discipline discipline discipline discipline discipline discipline discipline discipline discipline

najaribu kuattach spread sheet inakataa......(The uploaded file does not have an allowed extension) hata sijui kwa nn tu....

Mwl.RCT msaada wako hapa tafadhali
Uko sahihi bila discipline huwezi kufanikiwa kwenye forex.
 
Safi aisee hebu nipe ujanja wa votality na pia unatumia broka gani mi natumia peperston lot kwa hii kitu inaanzia 0.10 so broka gani anaruhusu 0.01 natanguliza shukran
Kwa msaada zaidi karibu t.me/TzVolatilitIndicesTraders
 
Duh ukienda against si unachoma fasta pia kama zinatembea sana
Hizi ni moto
Ukiwa Na capital ya kueleweka kulaza 500$ Kwa siku ni kitu cha kawaida
 
Mkuu mawakala wa binary unawapata wapi?
Kama una account ya telegram search hii chanel @TzVolatilitIndicesTraders
Hapa utapata
1) wazoefu wa forex Na unaweza kuwauliza maswali Na utasaidiwa
2)pia kuna signal kama unataka na ni free
3)kuna mawakala wa binary
 
Kila mtu kwa utashi wake, ana uhuru wa kuchagua shughuri anayo ona ina mfaa katika maisha yake.
- Kuna waliochagua kilimo
- Kuna walio chagua ajira
- Kuna waliochagua biashara ndogo ndogo
- Kuna walio chagua ku_bet
- Kuna waliochagua kuwa wanasiasa
- Kuna waliochagua kufanya biashara ya ubadilishaji wa fedha
- Kuna waliochagua kuwa mama ntilie
- Kuna walio chagua kuwa waosha magari
- Kuna walio chagua kulelewa na kutofanya kazi yeyote
- .....
Waweza endelea orodha ni ndefu,

Ni utashi wao

Hivyo ni vyema na huna budi ndugu Swet-R kuheshimu utashi wa mtu na uchaguzi wa mtu binafsi kile alichochakua kufanya kwenye maisha yake licha ya changamoto anazokumbana nazo
Mwalimu naomba unisaidie kitabu cha direcci Astro fx uliwahi kukipasua humu maana nilipoteza
 
Mtu onyeshe na withdrawal... nasema hiv akamatwe Ontario afungwe jiwe shingoni atupwe baharini tena katikat ya bahari yenye papa wengi
 
Kati ya Templer na Tickmill ni yupi broker mzuri wadau?
 
Forex ni mitandao ya kishetani tu hio

Fanya kazi jitume usiangalie watu wanakuangaliaje

Watanzania tunapenda usharobaro sana

Tembeza vitu uza kwa juhudi tafuta kazi ata
Beba ata tofali if possible ACHENI kupenda mafanikio ya haraka fanya kazi kwa bidii

NARUDIA BIDII NA ULINZI WA MUNGU VINATOSHA SANA


Achana na ujinga huo wezi tu hao
kwani kujifunza forex haihitaji bidii Mkuu?
 
Trade na broker makini na mzuri anayekubali hata kwa currency za East Africa TSH,KES na UGX na waweza kutrade hata kama una pesa kidogo ya kuanza kutrade real acc unaweza kuanza hata kwa kuweka Tsh 50,000 na kwenye MT5 inasoma hivyo hiyo kwa maana kuwa utatrade kwa Tsh hivyo kukufanya uwe safe hata kuunguza inakuwa ni ngumu
Broker anaitwa AMbroker

Unaposajiri unaweza chagua hata Kenya Shillings ambayo Tsh 50000 ni sawa na Ksh 2,256 hata kwa broker inasoma hivyo hivyo

NB:Badala ya kutumia cent acc zenye spreads kubwa hii inaweza kuwa suruhu lkn pia kuna pair pendwa ya NASDAQ ambayo inakubali kutrade hata lot ya 0.10 tofauti na broker wengine wanaotaka uanze na lot ya 1 tu

KUMBUKA KUWEKA NA KUTOA NI KWA M-PESA KUPITIA IPAY AFRICA

Habari njema ni kuwa kama hutumii bank kwe kuweka na kutoa unaruhusiwa kuverify kitambulisho (ID) yako na unaweza kutoa pesa yako muda wowote kwa wepesi zaidi

Endeleeni kufurahia pamoja na ambroker
Duh hii mpya kuiskia
 
Back
Top Bottom