Kila mtu kwa utashi wake, ana uhuru wa kuchagua shughuri anayo ona ina
mfaa katika maisha yake.
- Kuna waliochagua kilimo
- Kuna walio chagua ajira
- Kuna waliochagua biashara ndogo ndogo
- Kuna walio chagua ku_bet
- Kuna waliochagua kuwa wanasiasa
- Kuna waliochagua kufanya biashara ya ubadilishaji wa fedha
- Kuna waliochagua kuwa mama ntilie
- Kuna walio chagua kuwa waosha magari
- Kuna walio chagua kulelewa na kutofanya kazi yeyote
- .....
Waweza endelea orodha ni ndefu,
Ni utashi wao
Hivyo ni vyema na huna budi ndugu
Swet-R kuheshimu utashi wa mtu na uchaguzi wa mtu binafsi kile alichochakua kufanya kwenye maisha yake licha ya changamoto anazokumbana nazo