Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Upo deep sana mkuu. Mwanzoni mwanamke ataolewa na mtu kwasababu anapata kila kitu, akishazoea raha zote (kupata mahitaji yote) ndio mapicha picha yanaanza kwasababu anakuwa hana hisia na huyo mwanaume.
Ndio hilo jambo watu hawataki kurlewa ukiwa na pesa sio tu utapata wadangaji wengi utakaowaona ni wapenzi bali hata "marafiki fake" hata ndugu lawama watajipendekeza na kukuheshimu mahusiano yyte katika jamii hayatagemei pesa kutengenezwa!

Ofcourse pesa ni muhimu sana katika maisha, lakini usitumie pesa pekee kutengeneza mahusiano yako na watu ..hata watoto wako..

Ndio maana unaweza kuwahudumia na kuwatunza vizuri watoto wako kwa pesa ulizonazo na still ukahisi kama wanaupendo zaud na mama yao kuliko wewe...

Ni kwasababu hujaweza ku connect nao vizuri
 
Ukimchana mshkaji ili waachane utakuwa kama unaforce mapenz mkuu... Kilichochako cha halali kipo njiani...please just let her gooo
 
Sahihi kabisa mkuu, pesa hainunui upendo watu tunapaswa kutambua hili.
 
Kabisa, inawezekana walikuwa wachumba sugu, miaka nenda rudi binti anapewa ahadi kuwa atamuoa na ahadi haitimii.
Ndio hivyo. Sasa uchumba gani huo wa miaka?. Huku ukiendelea kufaidi mzigo
 
Hili linaweza kuwa kweli ndiyo maana kuna muda nawaza au niwapigie ndugu zake na mama yake au nikaushe tu.
Sasa uwapigie ili iweje?
Wakati mnatongozana uliwapigia?
Mind your Business Bro!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huo ushauri utakuwa wa standard geji.

Heeee standaji geji cha mtoto ni kama wa sijiara[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hili ndilo nililo liona yaani watoto wa kike akilo zao ndogo sana.

Na mimi nimemwambia kwamba aheshimu maamuzi yake,ila anataka tuwe tunawasiliana.
Anataka uwe unamlipia hela za vikoba
 
Mwanamke hakutaki, utapata nini kumwambia huyo jamaa, au unataka mkose wote?
 
Usiombe kua kwenye moment hiyo...
Naweza hisi maumivu yako mkuu dah[emoji17][emoji17]
Wengi humu wanajitutumua aidha wana uzoefu tayari au hawajawahi kukutwa na hii hali.

Hapa najikaza kibishi tu.
 
Wengi humu wanajitutumua aidha wana uzoefu tayari au hawajawahi kukutwa na hii hali.

Hapa najikaza kibishi tu.
Mkuu kimbia usigeuke nyuma, kuna siku utajishukuru kwa uamuzi huo.
Na mara nyingi wanawake tunaowang'ang'ania wanakuwa hata siyo wazuri kivile kitabia na kimaadili. Huyo mwanamke atakuja kukuumiza kichwa bora uachane naye. Acha kabisa kuwasiliana naye, wewe unaweza kuona anakupenda anavyokutafuta lakini mwenzako anakuona dhaifu.
Achana naye jipe muda wa kujijenga na kumsahau, anza maisha upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…