Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kwanini???.Hebu iga Hekima ya Kimahakama kutoa Hukumu baada ya kusikiliza pande zote mbili;Wewe umemsikia tu mlalamikaji unahitimisha kwa kusema kuwa dada na Ndugu zake hawana akili,je umewasikiliza na wao ukasikia wanajiteteaje?. Ukute mtoa Post ndo ana shida ndio maana hao Ndugu wa Binti wamemuunganishia kwa Mwanaume mwingine.Huyo dem na dada zake wote hawana akili.
Mungu anapotumia njia zake za kimungu kukuepusha na balaa mbele ya safari unapaswa kuyapokea maono yake.Habari ya usiku huu.
Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.
Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?
Ushauri wenu tafadhali.
Sijakuelewa hapa kaka unamaanisha nini ?Sasa kama yeye ameshakubali kuolewa na huyo mwamba huoni kama umeshapoteza pambano round ya kwanza kwa knock out
Ni vizuri mahusiano yasiyokuwa na tija yakifa mapema kabla hamjakwenda mbali na kuwa na watoto unakuwa umeingia kwenye gereza la milele.Acha kutenganisha mahusiano ya watu..😎
Kiukweli mimi sina shida na mambo kama haya huwa yanatokea sana,kama mmoja wetu huko juu alivyo elezea.Kwanini???.Hebu iga Hekima ya Kimahakama kutoa Hukumu baada ya kusikiliza pande zote mbili;Wewe umemsikia tu mlalamikaji unahitimisha kwa kusema kuwa dada na Ndugu zake hawana akili,je umewasikiliza na wao ukasikia wanajiteteaje?. Ukute mtoa Post ndo ana shida ndio maana hao Ndugu wa Binti wamemuunganishia kwa Mwanaume mwingine.
Nakubaliana na wewe kaka.Mungu anapotumia njia zake za kimungu kukuepusha na balaa mbele ya safari unapaswa kuyapokea maono yake.
Don't kiss the wind, walk away.
Mimi nimemalizana nae kaka,ila cha ajabu anataka tuendelee kuwasiliana,nimemwambia hayo mambo siyawezi.Ukimruhusu anakuja kulipa kisasi atakuacha wewe maumivu yote utayabeba
Ndicho nilichokiamua hicho.Aisee.
Sisi wanaume tuna nafasi kubwa zaidi ya kuwaoa wale tunaowataka kuliko wanawake. i.e sisi tuna Choices nyingi kuliko wao.
Kuwa mjanja mwache aende, we mute tu aolewe! Unaumia kwa muda mchache then unakaa sawa.
Halafu unaacha nature ifanye kazi yake.
Unampa miezi tu!!
Piga screenshot zitume kwa huyo punda wake mpya, mwambie wewe umeshamove on amkanye mke wake hutaki kuingilia mahusiano yao.Nishapiga chini ila chenyewe kinataka kiendelee kuwasiliana na mimi,hapa kinatuma msg kama mvua.
Hahaha nimekuelewa sana kaka. Nimeshamkanya ngoja aendelee,nipigishe shoti.Piga screenshot zitume kwa huyo punda wake mpya, mwambie wewe umeshamove on amkanye mke wake hutaki kuingilia mahusiano yao.
Hii inaitwa kupigisha shoti.
Piga chini,tafuta pesa kwanza mengine utazidishiwa tu,we tafuta cash money,ukiweza kupata hata ka IST,utaweza kupata hata toto's kali kama madame Rita,Lulu nkHabari ya usiku huu.
Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.
Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?
Ushauri wenu tafadhali.
Habari ya usiku huu.

Ulokuwa huna akili ni weyee.Watu wanaangalia maslahi huyo kijana washamuona hana mpango yeye yuko katika penzi wenzako wako katika noti na maslaha ,mapenzi ya mdomo yamekwisha na weye kijana tafuta kazi ufanye mapenzi hayalazimishwi hao wake wapo kibao ndio kwanza wanazaliwa .Huyo dem na dada zake wote hawana akili.
Habari ya usiku huu.
Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.
Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?
Ushauri wenu tafadhali.
Toboa kabisa matundu yote kisha pita vile unyama unyama tu...,,.Unachosema sahihi kabisa,aisee dogo amekuwa na msimamo balaa anaiambia kabisa ameshamkubali mdau na hawezi kubadili msimamo nikamwambia sawa.
Hapa sio mahakamani!Kwanini???.Hebu iga Hekima ya Kimahakama kutoa Hukumu baada ya kusikiliza pande zote mbili;Wewe umemsikia tu mlalamikaji unahitimisha kwa kusema kuwa dada na Ndugu zake hawana akili,je umewasikiliza na wao ukasikia wanajiteteaje?. Ukute mtoa Post ndo ana shida ndio maana hao Ndugu wa Binti wamemuunganishia kwa Mwanaume mwingine.
lNimekausha kaka acha niugulie maumivu kwanza.
Lete picha yake tukupe credit yake kama kweli ni mzuri.Mimi nimekubali matokeo aisee dogo amenibadilikia balaa.
Ushauri mzuri sana huu kaka.Piga chini and move on mkuu, ukipiga chini kata mawasiliano kabisa yaani hupaswi kuruhusu hata kuona sms zake au akikutafuta, tia block dingiii