Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Huyo dem na dada zake wote hawana akili.
Kwanini???.Hebu iga Hekima ya Kimahakama kutoa Hukumu baada ya kusikiliza pande zote mbili;Wewe umemsikia tu mlalamikaji unahitimisha kwa kusema kuwa dada na Ndugu zake hawana akili,je umewasikiliza na wao ukasikia wanajiteteaje?. Ukute mtoa Post ndo ana shida ndio maana hao Ndugu wa Binti wamemuunganishia kwa Mwanaume mwingine.
 
Habari ya usiku huu.

Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.

Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.

Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?

Ushauri wenu tafadhali.
Mungu anapotumia njia zake za kimungu kukuepusha na balaa mbele ya safari unapaswa kuyapokea maono yake.

Don't kiss the wind, walk away.
 
Sasa kama yeye ameshakubali kuolewa na huyo mwamba huoni kama umeshapoteza pambano round ya kwanza kwa knock out
Sijakuelewa hapa kaka unamaanisha nini ?
 
Kwanini???.Hebu iga Hekima ya Kimahakama kutoa Hukumu baada ya kusikiliza pande zote mbili;Wewe umemsikia tu mlalamikaji unahitimisha kwa kusema kuwa dada na Ndugu zake hawana akili,je umewasikiliza na wao ukasikia wanajiteteaje?. Ukute mtoa Post ndo ana shida ndio maana hao Ndugu wa Binti wamemuunganishia kwa Mwanaume mwingine.
Kiukweli mimi sina shida na mambo kama haya huwa yanatokea sana,kama mmoja wetu huko juu alivyo elezea.

Kingine hata binti mwenyewe anakubali sina shida ni ishu tu za madada.
 
Mungu anapotumia njia zake za kimungu kukuepusha na balaa mbele ya safari unapaswa kuyapokea maono yake.

Don't kiss the wind, walk away.
Nakubaliana na wewe kaka.
 
Ukimruhusu anakuja kulipa kisasi atakuacha wewe maumivu yote utayabeba
Mimi nimemalizana nae kaka,ila cha ajabu anataka tuendelee kuwasiliana,nimemwambia hayo mambo siyawezi.
 
Aisee.
Sisi wanaume tuna nafasi kubwa zaidi ya kuwaoa wale tunaowataka kuliko wanawake. i.e sisi tuna Choices nyingi kuliko wao.

Kuwa mjanja mwache aende, we mute tu aolewe! Unaumia kwa muda mchache then unakaa sawa.

Halafu unaacha nature ifanye kazi yake.
Unampa miezi tu!!
Ndicho nilichokiamua hicho.
 
Habari ya usiku huu.

Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.

Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.

Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?

Ushauri wenu tafadhali.
Piga chini,tafuta pesa kwanza mengine utazidishiwa tu,we tafuta cash money,ukiweza kupata hata ka IST,utaweza kupata hata toto's kali kama madame Rita,Lulu nk
 
Piga chini and move on mkuu, ukipiga chini kata mawasiliano kabisa yaani hupaswi kuruhusu hata kuona sms zake au akikutafuta, tia block dingiii
 
Habari ya usiku huu.

Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.

Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.

Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?

Ushauri wenu tafadhali.

Mkuu muache huyo mwanamke! Narudia mwache huyo mwanamke!

Najua kuna maumivu unapitia, ila nikuambie mm nimezaa na mwanamke watoto wawili! Tangu 2015 tumeachana 2021 mwezi wa kumi na moja! Nimejikomba, nimejirahisisha, nilichopata nikukatiwa simu na kidume mwenzangu kuzungumza na mimi kiubabe zaidi

Ni maumivu makali ninayoptia, nimeshuka kiuchumi sana ! Nimepoteza vingi sana nawaza hata binti angu mkubwa umri miaka 6 nitamtimiziaje ndoto zake , ukiachana na boy ambae ni mdgo kabisa!

Wew hujafika popote na huyo mwanamke! Kwanini hutaki kushituka mapema? Kwanza huna haja ya kumpigia kidume mwenzio, hilo ni kosa sana la kiufundi nililo fanya! Nilimpandisha kiburi sana mwanamke kujiona yeye ni mzuri sana , japo ni kweli ni mzuri!

Endelea na maisha yako, bado hujafika mbali! Japo niseme , hayo yote yamenitokea haina maaana yeye ndo mwenye makosa sana! Japo kwa mambo aliyonifanyia yeye hakosi kuwa chanzo cha huu utengano, lakini na mimi kama binadamu naamini pia kuna mazingira nilikuwa nakosea! Huu ukweli unaniweka huru sana

Narudia achana na huyo mwanamke
 
Huyo dem na dada zake wote hawana akili.
Ulokuwa huna akili ni weyee.Watu wanaangalia maslahi huyo kijana washamuona hana mpango yeye yuko katika penzi wenzako wako katika noti na maslaha ,mapenzi ya mdomo yamekwisha na weye kijana tafuta kazi ufanye mapenzi hayalazimishwi hao wake wapo kibao ndio kwanza wanazaliwa .
 
Habari ya usiku huu.

Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.

Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.

Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?

Ushauri wenu tafadhali.

Andaa vifaa vya Shule na ongea na Baba akomae alipe ada Kwa wakati usiteseke.
 
Unachosema sahihi kabisa,aisee dogo amekuwa na msimamo balaa anaiambia kabisa ameshamkubali mdau na hawezi kubadili msimamo nikamwambia sawa.
Toboa kabisa matundu yote kisha pita vile unyama unyama tu...,,.
aende na alama kamili
 
Kwanini???.Hebu iga Hekima ya Kimahakama kutoa Hukumu baada ya kusikiliza pande zote mbili;Wewe umemsikia tu mlalamikaji unahitimisha kwa kusema kuwa dada na Ndugu zake hawana akili,je umewasikiliza na wao ukasikia wanajiteteaje?. Ukute mtoa Post ndo ana shida ndio maana hao Ndugu wa Binti wamemuunganishia kwa Mwanaume mwingine.
Hapa sio mahakamani!
hapa ni kijiweni
 
Umfuate umwambie ukweli wa nn mkuu achana nae hvi bado mnapenda kiasi hcho mpaka karne hii.
 
Back
Top Bottom