Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Umfuate umwambie ukweli wa nn mkuu achana nae hvi bado mnapenda kiasi hcho mpaka karne hii.
Hahahaha,mapenzi yanaumwa kaka acha tu.

Ila tunakaza moyo tu,sababu maumivu huisha.
 
Kweli kabisa kaka.
 
Nimeachana naye kaka. Pole sana kwa mkasa ulio kukuta.
 
Nimekuelewa uzuri kaka.

Nina miaka 42; najuta Sana mambo ya kijinga ya kuamini wanawake wakati nipo na umri Kati ya 25 - 30!

Wanawake achana nao; hawana maana; weka vipi unbele vyako vizuri ambavyo Ni:

  • Sala, Imani na uaminifu.
  • Shuleni/Chuo Kama umejaliwa.
  • Biashara au Ajira

Unakutana na wanawake wengi wazuri Mbele; na wote wanaitaji fedha ili uwamudu; Hakuna mapenzi bila uwezo wa kifedha.

Sijui Huyu ana upendo wa kweli hataki hela, ananivumilia; Bullshit; Hakuna mwanamke anavumilia mtu asiye na hela, anakula timing tu aende.
 
Jiandae kurudi shule bado siku 12
 
Huwezi sema una mchumba kwa hv vida vyenue umri kuanzia 18-27,hao bado hawajajua dunia n Nini na kiukweli watakusumbua Sana maana bado akili ndogo, other wise labda ukipata wa hivyo ukitundike mimba haraka kama kweli unataka kuoa na Hilo kwa dunia ya saaa ni ngumu coz kuchomoa mimba kwao n dk 0
Ukitaka ambaye hata kusumbua n kuanzia 28-35 hapo huta pata mawazo kwasababu tayari huyo Kesha pitia mengi na pia Kesha umizwa anajua uchungu wa mapenzi na hapo yupo tayari kuolewa ktk mazingira yeyote,
Nimi niliwahi kuwa na kamoja ka hivyo kalinisumbua Sana, unakuta kana account 4 za fb, majina tofauti et sijui princes nani, sijui Diana.., hovyo sana, namba za cm anazo 4,nasafiri nae nakumbuka siku moja tupo ubungo Kumbe kwenye basi kamuona class mate wake akamkomyeza wakashuka nyuma ya basi naangalia naona wamekumbatiana ana mu hug,last time nikakuta kanaliwa na mume wa mtu.
Nikama mtu kunidanganya et una mchumba yupo chuo, aisee my friend kuwa makini
 
Sometimes ili kumjua mtu unae muoa. Kuwa karibu na dada zake na ndugu zake kwa ujumla. Ukiwa nao karibu, kuna uwezekano wa wao kukupa story au kukupa vihabar kuhusu huyo mwenzio.

How do i know? Because mwenzio anaweza kukuficha. Akaongea na ndugu zake, haswa wale anao waamini.

Otherwise analyse why imekuwa hivyo. Na pia ongea na dada zake kama utakuwa interested kumbadili mawazo.

But until then pole mkuu. Huu ni wakati wa kujiweka vizuri. Be the man ambae ulitaka uwe.
A woman for you atakuja one way or another. Usipanick, and dont beg
 
Nakuelewa vizuri sana kaka.
 
Shukrani kwa ushauri mzuri,yupo dada yake mmoja tunaelewana vizuri ila nasita kumcheki naona atakuwa ni miongoni mwao na namba za mama yake nazo ninazo ila naona kama haina haja ya kuwapigia.
 
Shukrani kwa ushauri mzuri,yupo dada yake mmoja tunaelewana vizuri ila nasita kumcheki naona atakuwa ni miongoni mwao na namba za mama yake nazo ninazo ila naona kama haina haja ya kuwapigia.
Is why nikakwambia all contact them kama uko interested ku rescue hayo mahusiano.

Otherwise chill down achana nao.
Endelea nanmaisha yako
 
Nakuelewa vizuri sana kaka.
 
Is why nikakwambia all contact them kama uko interested ku rescue hayo mahusiano.

Otherwise chill down achana nao.
Endelea nanmaisha yako
Okay ngoja niendelee kujishauri kwanza,sababu mimi mwenyewe sitaki kuonekana fala hivi.
 
Mungu ameamua kukuonyesha mapema kabisa tabia ya huyo mpenzi wako,mshukuru Mungu kwa hilo jambo kisha elekeza nguvu,maarifa na maombi katika kutafuta hela,huyo hakufai hata kama ungekuja kumuoa angekuja kudanganyika tu,

Good luck.
 
Mimi nimekubali matokeo lakini namuona binti kama anataka tuendelee na kuwasiliana nikamwambia huo ujinga siufanyi aheshimu mawazo yake.

Ila katika kuwaza na kuwazua na kuunganisha nukta nikapa wazo au nimchane mdau nini ?!
Achana na huyo mdau na achana na huyo demu. Kuna wimbo wa Chege unaitwa WAACHE WAOANE nakuomba uwaache waoane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…