King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Woow..hii safi sana,niyakumbukayo;
1. Ndala za "Skyway"
2.Raba za "DH"
3.Suruali za "Tokyo & Beauct"
4.Mafuta ya kujipaka "Rays"
5.Tanbond sio blue band
6.Soda ya double cola na fahari.
7.Negro arushaa aliitwa " Masawee"
8.Peugeot 403 & 404[emoji3]
Viatu vya Cha Cha Cha unavijua?? Mwisho kuvivaa saa sita mchana.