Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
WADOGO ZANGU: KAMWE USIJITESE KWAAJILI YA MWANAMKE. WÔTE MCHANGIE ÑGUVU KUYAENDESHA MAISHA YENU. HATAKI PIGA CHINI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usiwe Mpumbavu.
Usiwe mbumbumbu!
Usiwe Lofa!
Tumia Akili yako Vizuri mdogo wàngu
Kamwe usijitese Kisa Mwanamke.
Usiwe Yale majinga àmbayo ni vipofu. Wasioona Wala wasiojua Dunia Iko wàpi na inaelekea Wapi.
Zamani ilikuwa jukumu la mwanaume kumhudumia Mkewe na Watoto wake. Kwa sababu mfumo na Sheria za kipindi Kile haukuleta Matokeo Mabaya Kwa Mwanaume katika mwisho wa filamu.
Zamani hata mkaachana bado Huwezi pata upinzani Mkubwa kwèñye mgawanyo wa Mali(jasho Lako) Huwezi kunyang'anywa Watoto wako wakapewa ûkoo Mwingine.
Hiyo Kwa Zamani isingewezekana.
Sheria ya Kumtunza Mke ilikuwa na tija Zamani hizô. Lakini siô Kwa Sasa.
Zamani ungeweza kujitoa hata uhai wako Kisa Mwanamke na huyo Mwanamke angetambua mchango wako katika Maisha yake. Lakini Kamwe usijethubutu Kutoa hata jasho au machozi au mate yako Kwa Zama hizi Kisa Mwanamke. Never ever!
Zamani unapooa Mwanamke anakuwa wako kikwelikweli. Hata akienda Kwa Wazazi wake Huko atafukuzwa arudi kwako. Hiyo ni Zamani ndîo maana ulistahili kumhudumia Kwa sababu ni Mali yako lakini Zama hizi usithubutu kujimilikisha Mwanamke ukasema ni wako. Ukajitesa, ukajitoa Mhanga kama lijinga Fulani hivi lisilo na akili.
Zama hizi ukigombana na huyo unayemhudumia atakuambia hakufukuzwa Kwao.
Atakuambia wewe siô Kwa Kwanza na hautakuwa wa mwisho Kwa sababu ni kweli hukumkuta Bikra.
Zaidi Wazazi wake uliowapa Pesa ya kumnunua huyo Mwanamke watakunyang'aya Mtoto waô na utabaki umebung'aa kama mbumbumbu.
Usijitese.
Usijihangaishe.
Usijiumize kisa Mwanamke àmbaye unadhani ni wako.
Serikali za nyakati hizi Sheria Zake nyingi kuhusu mahusiano zîpo kinafiki, hazina unyoofu.
Zitakuambia umhudumie Mkeo alafu Wakati huohuo zitakuambia ANAHAKI ya kukupa talaka(kukuacha) au Kutumia Mwili wake atakavyo.
Zitakuambia, utoe child support Kwa Watoto wako lakini wewe unayetoa utakatazwa kuishi na Watoto wako. Sasa huo si upimbi.
Kwa Watibeli, Mtoto àmbaye haujamlea huyo siô Mtoto wako. Ni kweli ulimzaa lakini kama hukumlea hawezi kuwa Mtoto wako.
Na Hapa kulea tunamaanisha siô tuu Kutoa matumizi Bali kuishi na Mtoto na kuwa na mahusiano naye.
Kwa Zamani, Mwanaume alikuwa na HAKI zote kuingia vitani kisa Mwanamke àmbaye ni Mkewe.
Kuua kisa Mwanamke lilikuwa Jambo la Kawaida Sana.
Lakini Katu! Katu! Katu! Kamwe usijeingia vitani au Kuua kisa Mwanamke katika Zama hizi. Huyo siô Mwanamke wako. She is not your woman.
Mfumo wa sasa hautambui kwamba wewe unamwanamke. Hautambui!
Usije ukajichanganya.
Zamani Watoto hukaa upande wa Mzee waô. Kwa sababu ni Mali ya Baba. Mama akiwa mkaidi angeweza kufukuzwa na asiondoke na Watoto.
Lakini Kwa Sasa Watoto siô wako Kwa sababu hata huyo Mwanamke hakuwa wako. Huwezi elewa kama Akili yako haijakomaa.
Watoto wanakuwa wako pale àmbapo Mwanamke ni Wako.
Zama hizi siô ajabu Watoto wakaungana na Mama yao kukuangusha na ukaanguka puuuh! Chini Kwisha!
Kwa namna hiyo Sasa, ndîo maana Taikon Master kîla mara ninawashauri Watu hasahasa Vijana wadogo àmbao hamjapata mahusiano ya Ndoa. Kuwa:;
1. Kamwe Usioe mwanamke asiyefanya Kazi yàani asiyezalisha Mali. Never ever.
Utajitesa bure na bado hatakuwa Mwanamke wako.
Wôte mfanyekazi kîla Mtu achangie kipato. Asikuelemee. Usijile, usijiumize Sana. Naye Afanye Kazi.
Ili Siku akitaka kuondoka usihisi ulimenyeka au ulijitoa Sana kwaajili yake.
Ruhusu aende Kwa Amani. Mpe na Mali alizozalisha, ikiwezekana muongezeemo na kidôgo na Mali zako.
Sisi Watibeli hatuumizwi na Mapenzi Kwa sababu tunajua Saikolojia ya mapenzi.
Siri Mojawapo ya mapenzi nataka kukuibieni.
Iko hivi, Yule anayetoa Sana kwèñye mapenzi ndiye huumia Sana Moyo kuliko Yule anayetoa kidôgo au asiyetoa Kabisa.
Mapenzi ni Kutoa. Ukitoa kidôgo maumivu kidôgo. Ukitoa Sana maumivu Sana. Usipotoa Kabisa maumivu Hakuna Kabisa.
Msijesema Taikon mchoyo hakuwaambia.
2. Usitake kummiliki.
Hutakiwi kummiliki yeyote Hapa Duniani zaidi yako mwenyewe.
Muache ajimiliki mwenyewe. Usimtumngie visheria Sheria vingi Kwa Sababu anayetoa Sheria nyingi analazimika kuwajibika zaidi Kwa Yule anayemtolea Sheria. Ikiwemo kumhudumia.
Mpe Uhuru lakini mpe pia ANGALIZO kuwa Siku akiku-cheat utampa Mkono wa kwaheri.
Sheria ni tafsiri ya kupenda. Sheria nyingi Upendo mwingi. Sheria kidôgo Upendo kidogo.
3. Kama atakuwa single mother usijihusishe na Mtoto wake. Hiyo siô Kazi yako.
Asije akakudanganya Mtu yeyote hata Mzazi wako, au Mchungaji au sheikhe au Mtu yeyote Yule ikiwemo wewe mwenyewe.
Kamwe usijitese Kwa Mtoto asiyewako wa Mwanamke uliyemuoa.
Labda! Labda úwe na Pesa nyingi za ziada Ambazo hazikulazimu kuhangaika na Kutoa jasho.
Lakini kama wewe ni wale ambao uchumi wènyewe ni kagari kamoja tenà unako wewe pekee ûkoo wenu mzima. Aaaah! Wewe bado! Wewe mchanga Sana. Pesa zako zitumie kujiweka vizuri zaidi au kusaidia ndugu zako au Watoto wako mwenyewe.
Wanawake unapowapa msaada hawaoni kwamba unawasaidia Bali Wanaona wewe ndiye unashida nao na unawapenda, unashida ya Moyo ndîo maana unahangaika kwaajili Yao.
Elewa, Mwanamke unapompa kitu chochote Saikolojia Yao inatafsiri kuwa unampenda na unashida naye. Yaani Kwa kifupi NI kwamba amekukamata.
Na wanaamini kuwa kama siô ûzuri waô uliokuchanganya wewe Basi usingewap msaada.
Usije ukajidanganya kuwa waô ndîo weñye shida. Mdogo wàngu Mimi nakuambia ule ukweli wenyewe. Sitakupunja.
Ndîo maana Mwanamke anapopewa Pesa na Mtu Mwingine zaidi ya Mumewe Huona huyo Mtu anampenda kuliko Mumewe.
Au Mumewe akitoa Kwa Watu Wengine zaidi kuliko Kwa Mkewe, waô hutafsiri kuwa Mumewe HUPENDA zaidi Huko anakotoa. Jambo ambalo Kwa Sisi Wanaume linaweza kuwa SIO KWELI.
4. Wanawake wa Zama hizi wakiona Kile walichotarajia kwako hakipo watakubadililkia.
Kijana mdogo, Hakuna mwanamke àmbaye atakuja kwako Bila matarajio Fulani atakayoyapata kwako.
Hata kama wewe unajiona Maskini lakini huyo Mwanamke uliyenaye kûna kitu anatarajia utakipata ambacho kitu hicho kitamnufaisha na yeye.
Mwanamke hawezi kukaa na wéwe kama hanufaiki. Hii ni tofauti na Sisi Wanaume.
Matarajio akiona yanayoyoma na matumaini ya kuyapata yanapotea nakuhakikishia utaanza kuona mabadiliko Kwa huyo Mwanamke uliyenaye.
Kama alikuwa anakuheshimu utashangaa mambo yanabadilika.
Hivyo Basi, lazima kama Mwanaume uyajue matarajio ya Mwanamke uliyenaye na Wala usimuulize ila tumia Akili yako mwenyewe kuyabaini. Kisha nenda kinyume na hayo matarajio Yake kimaigizo Bila ya yeye kujua.
Matarajio yanapokwisha na tumaini linapoondoka Upendo wa kwèli ndîo hubakia yàani uhalisia wa Mwanamke wako utaupata pale àmbapo matarajio Yake yametatizwa, yameyeyuka, yamepaizwa. Hapo ndio utajua ukweli kuhusu Mwanamke uliyenaye.
Mimi kakaako nimekuwa Mtu mzima Sasa. Umri umesogea. Nimeona nikukumbushe hayo machache kidôgo yatakusaidia katika Zama hizi.
Usiitazame Dunia kutokea Nyuma, itazame Dunia ilipo kuelekea mbele. Mitazamo yako ísiwe Nyuma ya ulimwengu utatatizika.
Acha ninywe nipumzike Sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam