Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

Hiyo akili Yako Baki nayo mwenyewe na wenzako, Hawa wanavishwa wanalishwa wanapewa makazi, Sahihi halafu mkiwakuta wanauza matunda na watoto mgongon mnajifanya mna hurumaaaaaa, huruma ya nini si ndo kazi hizo? Mke anakaa nyumbani anatulia huyo ndo mke wako, ukitoka kwenda kazini na yeye kazini huyo ni Mume mwenzako.
 
Wanawake unapowapa msaada hawaoni kwamba unawasaidia Bali Wanaona wewe ndiye unashida nao na unawapenda, unashida ya Moyo ndîo maana unahangaika kwaajili Yao.
Huwezi amini Bibi amewahi kunambia haya maneno.

Ni ukweli mtupu kabisa mwanamke ukimsaidia kitakacho kuja akilini mwake ni kuwa una mtaka na si vingine. japo sina gari kwenye pikpiki yangu huwa siwapi lift wadada akiwa wa makamo kama mama yangu nambeba au awe na mtoto ama mimba tena ikibidi hadi kwakwe nitamfikisha. Ila hawa vikaragosi vya mchawi kalaba akinisimamisha ni hela tu sina lugha nyingine hata kama atoe buku sawa ila lazima hela imtoke. na nikipta mwanaume mwenzangu atabebwa buree kabisaa bila kuomba hata jero.

Na wanawivu utasikia anakuhoji bila aibu mbona mwanaume yeye hujamuomba?
 
1. Kamwe Usioe mwanamke asiyefanya Kazi yàani asiyezalisha Mali. Never ever.
Utajitesa bure na bado hatakuwa Mwanamke wako.
Wôte mfanyekazi kîla Mtu achangie kipato. Asikuelemee. Usijile, usijiumize Sana. Naye Afanye Kazi.
Ili Siku akitaka kuondoka usihisi ulimenyeka au ulijitoa Sana kwaajili yake.
Ruhusu aende Kwa Amani. Mpe na Mali alizozalisha, ikiwezekana muongezeemo na kidôgo na Mali zako.
Huwa napingana nawewe hapa mkuu kwingine kote ni sawa kabisaaa.
2. Usitake kummiliki.
Hutakiwi kummiliki yeyote Hapa Duniani zaidi yako mwenyewe.
Muache ajimiliki mwenyewe. Usimtumngie visheria Sheria vingi Kwa Sababu anayetoa Sheria nyingi analazimika kuwajibika zaidi Kwa Yule anayemtolea Sheria. Ikiwemo kumhudumia.
Mpe Uhuru lakini mpe pia ANGALIZO kuwa Siku akiku-cheat utampa Mkono wa kwaheri.
Hapa pia napingana nawewe. Lazima amilkiwe na afate sheria zangu hataki asepe mapema asubuhi wala sitamudai
kusubiri hadi akuchiti ndo ufukuze ni ufala unaona anaenda kinyume mwambie potea hapa hujazaliwa hapa. vinginevyo unatafuta ukimwi malangoni pako asee.
 
Ni stage za ukuaji hlf mtu anaachq
 
Back
Top Bottom