Hiyo akili Yako Baki nayo mwenyewe na wenzako, Hawa wanavishwa wanalishwa wanapewa makazi, Sahihi halafu mkiwakuta wanauza matunda na watoto mgongon mnajifanya mna hurumaaaaaa, huruma ya nini si ndo kazi hizo? Mke anakaa nyumbani anatulia huyo ndo mke wako, ukitoka kwenda kazini na yeye kazini huyo ni Mume mwenzako.