Wadogo zangu: Kamwe usijitese kwaajili ya Mwanamke. Wôte mchangie Ñguvu kuyaendesha Maisha Yenu. Hataki piga chini.

Ulishasema Watibeli mnabeba majukumu yote sasa hivi umetepeta au sio au unaitafuta transgender uko kwenye transformative stage?
 
Ilibidi uanze kwa kukiri mabadiriko ya kimtizamo maana mara kadhaa umekuwa na mrengo tofauti na hii hapa ya leo

Mimi siongeagi mitazamo. Nipo kimantiki.

Hakuna sehemu nimekuwa tofauti.
Kusema wanawake wafanye Kazi haimaanishi nimesema wanaume tusitoe huduma.

Ukisoma maandiko yangu tumia zaidi ufahamu
 
Mimi siongeagi mitazamo. Nipo kimantiki.

Hakuna sehemu nimekuwa tofauti.
Kusema wanawake wafanye Kazi haimaanishi nimesema wanaume tusitoe huduma.

Ukisoma maandiko yangu tumia zaidi ufahamu
Unauma unapuliza na wakati mwingine unajikataa itikadi zako, ni njema pia katika chagizo la utunduizi
 
Hapo kwenye sheria za kinafiki ukifikishwa hata ustawi wa jamii tu mke hakutaki utaambiwa muache awe huru hakutaki huwezi kumlazimisha. Wanawake wa siku hizi wacha wawe single mother tu maana ni pasua kichwa ndoani. Si wavumilivu kwa mwanaume asiye na matarijio yao
 
Pia, wape akina mama ushauri huo huo kuhusiana na warume. Nadhani unaandika kutokana na frustrations zako binafsi ambazo umezigeneralise bila sababu kiakili.
nakuona kama huna akili hata ya kula ugali na kachumbari, jamaa kashusha uhalisia mtupu, mambo yamebadilika sio kama zamani, hata kwa macho huoni mitaani wanandoa wakiachana mapema tu? Acha ubishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…