Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Ofcourse naelewa kwamba hakuna kupangiana matumizi, ila nisiposema hili nitakua sijatimiza wajibu wangu kama "kaka"(kwa baadhi ya wadogo zangu).
Wadogo zangu, ukiwa bado hustler, kupiga dili ya laki 2 na ukaji-shukuru kwa kutumia laki moja na nusu ni upuuzi grade A.
Usituone sisi tunalewa, tunaagiza vinywaji vinaletwa na wadada wameshika mabango yenye majina yetu ukadhan nn sijui na wewe ukatamani kuiga, hio sio sawa kama bado huna 'financial freedom'.
Kuna dogo mmoja namfahamu, nilimconnect akapiga dili nikampa laki tano, namjua bado ni hustler ila namkubali kwa sababu dogo anajua kazi na ana bidii ya kazi, sasa masikin ya Mungu weekend ilikua kesho yake nakuta yupo chimbo langu anakunywa hovyo na videm viwili, wanapiga piga picha tu, mimi nikapotezea sabab huwa sina mambo ya kuwapangia watu matumizi.
Kinachofanya niandike huu uzi ni kwamba jana (baada ya wiki 2) dogo nilimuita tena aje tupige dili jingine, dogo akawa analalamika anaumwa, nikaenda geto kwake kumcheki, kweli dogo yupo hoi, kumuuliza kama kaenda hospitali anasema eti hana hela, nikamwambie "wewe wiki 2 zilizopita si umepata hela ambayo mwalimu anatumia mwezi mzima kuipata" , dogo visingizio vikawa vingi, nikamkumbusha nilimuona bar, dogo ikabidi awe mpole akasema "nazisaka kwa tabu ndo maana lazima niburudike" Nikamwambia ukiendelea hivo utaenjoy burudan ya masaa machache kisha itakurudisha kwenye shida.
JIKAZE, JINYIME KWA MUDA ILE UJE UWE HURU KIUCHUMI MOJA KWA MOJA.
Out of topic, Mtoto mkali mmoja wa JF aliepo karibu na mikocheni anaependa bata anicheki, nipo mitaa hii weekend nzima
#Weekending