Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Pole. Bahati mbaya uwe mtupu kichwani na bahati mbaya zaidi uwe mtupu pia kwenye uchumi. Ndio kati ya hayo unaweza kuona kila Jambo ni maigizo. Bahati mbaya zaidi miaka inaenda unabaki kuona kila kila kitu ni chai hata uhalisiaCHAI.. Kwani mjomba wako ni Mbunge? Mtumishi wa serikali mwenye mafao kiasi hicho ni lazima ana mshahara mkubwa, na tayari amejipanga vyakutosha kabla ya kustaafu. Acheni kuleta stori za kwenye vijiwe vya kahawa hapa