Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Nakumbuka ilifika kipindi mpaka nikawa najichukia kwa matumizi mabaya ya fedha, zikiisha unajiapiza viapo vyote kuwa next time nitakuwa na discipline, Mungu anakuangalia tu huku anasema iiiiiiiiiiih! (In magufuli voice) , ni kama Mungu anakuwa anakupa majaribu vile.
Haipiti wiki mbili mara “mshindo” huu hapaa, sa si unasema ngoja nikapige mbili tu alafu nipate mood ya kusuka mipango, unasahau safari moja huanzisha nyingine kuja kushtuka laki ishaisha 😂😂 unajipa kauli za kishujaa, Sea never dry, man never die 😂😂😂 kesho nayo siku.
Kuja kukaaa sawa mwezi, mwaka , miaka inakatika maisha yako ni yale yale unapiga mark time tu.