T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Yah hii inasikitisha sana mkuu. Wengi tuko hiv wazaz wa sasaKatuka mambo nayo najitahidi kuwajengea vijana wangu ndugu hata na watoto wangu wadogo basi ni uwezo wa kubehave kama watu wazima huku wana umri mdogo.
Yani leo kijana wa miaka 18 inatakiwa awe ni mtu anayejua vi,uri kuishi na watu,na kubehave vizuri.
Yaani inatakikana kijana wa miaka 18 awe na uwezo wa kuvaa suti na kukaa bungeni na kujenga hoja mbalimbali za nchi.
Lakini wazazi hasa wababa hawana muda wa kukaa na watoto wao kuwajengea uwezo wa kufanya mawqsiliano(communicstion skills) na uwezo wa kujenga hoja na uwezo wa kuzungumza vizuri na watu.
Wazazi wako bize kutafuta kula watoto wale huku kichwani watoto ni mabogus.
Kwahiyo mkuu hapo kwenye maelezo yangu ni kwamba hujaelewa kabisa?.Kwangu mimi mtu kuondoka saa kumi na mbili ofisini siku ya Jumamosi akiwa amemaliza kazi aende kutazama mpira wa timu yake pendwa sio tatizo.
It's likely mlikuwa mnapiga chitchatting, hayakuwa mazungumzo ya kikazi kwamba mnatafuta solution ya tatizo hapohapo. Kazi zimeisha ni Jumamosi saa 12 akaondoka kutazama mpira. Sioni kosa lake.
Unatusagia kuguni mtibeliiVIJANA wengi ndio wapo hivyo.
Hao ambao hawapo hivyo ni mmoja mmoja.
Bora Wanawake kidogo wananidhamu kazini. Kiufupi kuna hatari ya vijana kuzidiwa na mabinti hasa katika kufanya kazi
LAkin ndio ukwel mwenyewe huo mkuuUnatusagia kuguni mtibelii
Han mpaka kuna time unajiulizaaaa hawa watoto wanataka kitu gani lakini?Mie mwenyewe ni kijana ila madogo ni miyeyusho sana.
Kuna kijana wa diploma kutoka chuo fulani alikuja kufanya field ofisi moja niliyokuwepo kwa wakati ule, katika kumpangia majukumu tulimpeleka mji wa jirani, tofauti na mji wao ( ambapo ofisi ilipo).
Alipokuwa huko tulikua tunamlipia lodge, chakula cha siku na pocket yake 15k. Kazi ilikua ya three weeks lakini baada ya siku 4, tukapata taarifa kaondoka tena kasema tu " mie nimechoka kukaa huku sipaelewi "
Aliporudi ofisini hakua na valid excuse, isipokuwa sababu za kitoto tu mara chakula kibaya, mara pocket yake ndogo e.t.c
Logbook yake hatukusaini ofisini, alisainia mitaani huko, bad enough ht supervisor wake hakufika ofisini aliishia kupiga simu tu kwa excuse ya ratiba.
Unatusagia kuguni mtibelii
Sio kweli now days mamb yamebadilka kwanza hatutaki kufanya kazi mpaka kustaafu... kwetu ni ushamba kazi ni kwa ajir ya kupata capital tu..,.LAkin ndio ukwel mwenyewe huo mkuu
Ayaa bana ila maandiko yako yanakinzana na point yako female ni bora kuliko male.....😀😀
Nakuambia kweli Mkuu.
Anzisha biashara au kampuni yako alafu ajili kijana na binti wenye sifa sawa za kielimu na kiumri alafu utajionea matokeo.
Ayaa bana ila maandiko yako yanakinzana na point yako female ni bora kuliko male.....
Kuzidiwa wapi? Mnawaajiri kwa sababu ya kupata mapenzi kutoka kwake na Wala sio kwamba wana uwezo was kaziVIJANA wengi ndio wapo hivyo.
Hao ambao hawapo hivyo ni mmoja mmoja.
Bora Wanawake kidogo wananidhamu kazini. Kiufupi kuna hatari ya vijana kuzidiwa na mabinti hasa katika kufanya kazi
Hapa ume exagurate mambo mkuuKuzidiwa wapi? Mnawaajiri kwa sababu ya kupata mapenzi kutoka kwake na Wala sio kwamba wana uwezo was kazi
Kuzidiwa wapi? Mnawaajiri kwa sababu ya kupata mapenzi kutoka kwake na Wala sio kwamba wana uwezo was kazi
Nakubaliana na wewe. Kwenye kazi ambazo hazihitaji nguvu za mwili bai panctuality and honesty, females are more reliable. Males sababu lukuki.Mbali na hivyo lakini ni rahisi kuwàamini na sio wezi
VIJANA wengi ndio wapo hivyo.
Hao ambao hawapo hivyo ni mmoja mmoja.
Bora Wanawake kidogo wananidhamu kazini. Kiufupi kuna hatari ya vijana kuzidiwa na mabinti hasa katika kufanya kazi
VIJANA wengi ndio wapo hivyo.
Hao ambao hawapo hivyo ni mmoja mmoja.
Bora Wanawake kidogo wananidhamu kazini. Kiufupi kuna hatari ya vijana kuzidiwa na mabinti hasa katika kufanya kazi
Wewe ndio umeharibu kabisa. Binti wa mjini afanye kazi kumzidi kijana wa mjini?VIJANA wengi ndio wapo hivyo.
Hao ambao hawapo hivyo ni mmoja mmoja.
Bora Wanawake kidogo wananidhamu kazini. Kiufupi kuna hatari ya vijana kuzidiwa na mabinti hasa katika kufanya kazi