Dah hata Mimi amenishangaza kidogo huyo mtu uliemjibu hapa,ambae ni mtoa mada.
Nashangaa amelata mada mezani,wewe umetoa maoni Yako kama mjadala,halafu Tena anakukaumu kwamba unatetea.
Kama asingetaka mawazo tofauti angeandika mada hii kwenye notebook yake halafu akawa anaisoma peke yake Kila siku usiku akitaka kulala.
By the way umemjibu vizuri sana na ukweli mtupu.
Nakumbuka WikiLeaks walitoa taarifa zao kia USA iliwadukua Viongozi wakubwa na wadogo wa nchi karibu zote zafiki za west.
Na taarifa hiyo nadhani ndio iliwakera USA wakaamua kumshgukikia Assange.
Hali kadharika majasusi wa Mossad waliwahi kuwadukua Rais Obama na Waziri Mkuu wa Israiel nimesahau.
Nadhani mtoa mada hua hafatilii habari Kwa ukamulifu kabla ya kuzileta.