Hawa ndio wasaidizi wa zelisky na pia shetani zelisky anafunga makanisa kwa sababu makanisa yanamuabudu Mungu wa kweli.View attachment 2759763
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mchawi lugha
Taarifa za safar za ndege za miaka 16 iliyopita pamoja na namba za simu na majina ya abiria zina athar gan ktk mtanange unaoendelea
Kiarabu ndo lugha ya majini kuwasiliana, sasa itakuaje lugha ya mbinguni jamani?Jifunze nini maana ya kitenzi "present perfect tense" au maana ya "over the last 16 years", tatizo mumejikita kwenye Kiarabu sana eti ndio lugha ya binguni, kingereza kinawapa chenga.
inawasaidia nini kwenye vita?🤔. Maana wanadundwa kama ngoma ila huyo kibaraka wa biden anazidi kuwapeleka waukraine machinjioni kuuliwa nyamafu na warusi.Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...
Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained the names, phone numbers and document numbers of the passengers.
Source: Vazhnye Istorii
Details: News of this was posted on the Telegram channel of the hacker community KibOrg.
An unknown group called Muppets, which is associated with KibOrg, is allegedly behind the hack.
Sasa hiyo
inawasaidia nini kwenye vita?🤔. Maana wanadundwa kama ngoma ila huyo kibaraka wa biden anazidi kuwapeleka waukraine machinjioni kuuliwa nyamafu na warusi.
Maeneo yapi? Wakati CO ya Ukraine ilishafeli! Wamekufa takribani askari 49000+ wa Ukrainehehehe eti inasaidia nini, aisei mpo nyuma sana kuelewa mbinu za kimedani......
Mrusi anaendelea kupata aibu na ardhi aliyokua amenyakua inamtokea puani tena anapoteza wanajeshi kwa maelfu, wanafutika hadi huruma.
Mabeberu hawana chochote wanachoweza kufanya kwa sasa! Kaangalie interview ya Tucker Carlson na Colonel Mcgregor.Mabeberu wangehusika wangedukua hadi ikulu kwa Putin wenu.
Maeneo yapi? Wakati CO ya Ukraine ilishafeli! Wamekufa takribani askari 49000+ wa Ukraine
Wamepigana kwa miezi 3.
Kipindi chote cha CO eneo la blue ndilo Ukraine walilorudisha. Sasa ndiyo wanafanya nini! Na jana wameuliwa huko huko kwenye maeneo waliyochukua hao Ukraine.
Mabeberu hawana chochote wanachoweza kufanya kwa sasa! Kaangalie interview ya Tucker Carlson na Colonel Mcgregor.
Anasema US alibweteka wakati wapinzani wao walikuwa kila siku wanajiimarisha. Kuna mambo mengi sana wamepitwa kijeshi hususani na Russia. Na amesema kwa sasa USA haiwezi kwenda vitani moja kwa moja na Taifa kama la Russia.
Wewe nani sasa unayosema hayo?
Ukraine anachofanya kwa sasa anatumia mbinu za kigaidi. Hata hizo drone hazirushwi kutoka Ukraine kwenda moja kwa moja Russia. Kumbuka hawa wote ni Slavic.
Ukraine anaingia moja kwa moja ndani ya Russia kama raia wa kawaida na kisha wanaanza operation mithili za kigaidi za kurusha drone na kufanya uharibifu wa hapa na pale.
Sasa hii mbinu kwenye uwanja wa vita haitomsaidia.
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...
Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained the names, phone numbers and document numbers of the passengers.
Source: Vazhnye Istorii
Details: News of this was posted on the Telegram channel of the hacker community KibOrg.
An unknown group called Muppets, which is associated with KibOrg, is allegedly behind the hack.
Tatizo wanamgambo wa Ukraine wanachanganyika na watoto.urusi hapigi vita ovyoovyo anapiga military targets.mnatakiwa mjielimishe mpo upande wa shetani.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Utalazimishwa kuutilia maanani.
Nyie mnaoshabikia mtume Putin kisa chuki zenu kwa Marekani hamuoni kama mna njaa zaidi...
Drone zinazoruhusiwa kuingia Ukraine ni za urusi tu?Mabeberu hawana chochote wanachoweza kufanya kwa sasa! Kaangalie interview ya Tucker Carlson na Colonel Mcgregor.
Anasema US alibweteka wakati wapinzani wao walikuwa kila siku wanajiimarisha. Kuna mambo mengi sana wamepitwa kijeshi hususani na Russia. Na amesema kwa sasa USA haiwezi kwenda vitani moja kwa moja na Taifa kama la Russia.
Wewe nani sasa unayosema hayo?
Ukraine anachofanya kwa sasa anatumia mbinu za kigaidi. Hata hizo drone hazirushwi kutoka Ukraine kwenda moja kwa moja Russia. Kumbuka hawa wote ni Slavic.
Ukraine anaingia moja kwa moja ndani ya Russia kama raia wa kawaida na kisha wanaanza operation mithili za kigaidi za kurusha drone na kufanya uharibifu wa hapa na pale.
Sasa hii mbinu kwenye uwanja wa vita haitomsaidia.
Wanamshabikia Mrusi wanaacha kumwomba mrusi apeleke chakula somalia kwa ndugu zao wa kobaz wanaokufa njaa kila siku.Nyie mnaoshabikia mtume Putin kisa chuki zenu kwa Marekani hamuoni kama mna njaa zaidi...