Wadukuzi wa Ukraine wadukua mfumo wa Urusi na kupata taarifa zote za safari za ndege

Hawa ndio wasaidizi wa zelisky na pia shetani zelisky anafunga makanisa kwa sababu makanisa yanamuabudu Mungu wa kweli.View attachment 2759763

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app

Hehehe ustadhi leo umeanza kumuita zele shetani, ina maana ndio mnahubiriwa kule ndani, na ataendelea kupambania nchi yake na kulinda watu wake mpaka mtume wenu aondoke.
 
Achaa mahaba hao hawana huo ujanja, itakuwa juhudi za mabeberu wote wa ulaya na Amerika 😂 na hilo ni kama tu kama taarifa yenyewe ikiwa ni ya kweli 🤔

Mabeberu wangehusika wangedukua hadi ikulu kwa Putin wenu.
 
Mchawi lugha

Taarifa za safar za ndege za miaka 16 iliyopita pamoja na namba za simu na majina ya abiria zina athar gan ktk mtanange unaoendelea

Jifunze nini maana ya kitenzi "present perfect tense" au maana ya "over the last 16 years", tatizo mumejikita kwenye Kiarabu sana eti ndio lugha ya binguni, kingereza kinawapa chenga.
 
Kiarabu ndo lugha ya majini kuwasiliana, sasa itakuaje lugha ya mbinguni jamani?
 
Sasa hiyo
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...

Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained the names, phone numbers and document numbers of the passengers.

Source: Vazhnye Istorii

Details: News of this was posted on the Telegram channel of the hacker community KibOrg.

An unknown group called Muppets, which is associated with KibOrg, is allegedly behind the hack.
inawasaidia nini kwenye vita?🤔. Maana wanadundwa kama ngoma ila huyo kibaraka wa biden anazidi kuwapeleka waukraine machinjioni kuuliwa nyamafu na warusi.
 
hehehe eti inasaidia nini, aisei mpo nyuma sana kuelewa mbinu za kimedani......
Mrusi anaendelea kupata aibu na ardhi aliyokua amenyakua inamtokea puani tena anapoteza wanajeshi kwa maelfu, wanafutika hadi huruma.
 
Ukraine ingelikuwa inafanya kama yanavyosemwa humu kwenye nyuzi zako wangekuwa wapo mbali sana kwenye uwanja wa vita. Lakini matokeo ni tofauti! Siaoni chochote wanachokifanya!
 
hehehe eti inasaidia nini, aisei mpo nyuma sana kuelewa mbinu za kimedani......
Mrusi anaendelea kupata aibu na ardhi aliyokua amenyakua inamtokea puani tena anapoteza wanajeshi kwa maelfu, wanafutika hadi huruma.
Maeneo yapi? Wakati CO ya Ukraine ilishafeli! Wamekufa takribani askari 49000+ wa Ukraine
Wamepigana kwa miezi 3.

Kipindi chote cha CO eneo la blue ndilo Ukraine walilorudisha. Sasa ndiyo wanafanya nini! Na jana wameuliwa huko huko kwenye maeneo waliyochukua hao Ukraine.
 
Attachments

  • Screenshot_20230925_112407_X.jpg
    Screenshot_20230925_112407_X.jpg
    21.8 KB · Views: 1
Mabeberu wangehusika wangedukua hadi ikulu kwa Putin wenu.
Mabeberu hawana chochote wanachoweza kufanya kwa sasa! Kaangalie interview ya Tucker Carlson na Colonel Mcgregor.

Anasema US alibweteka wakati wapinzani wao walikuwa kila siku wanajiimarisha. Kuna mambo mengi sana wamepitwa kijeshi hususani na Russia. Na amesema kwa sasa USA haiwezi kwenda vitani moja kwa moja na Taifa kama la Russia.

Wewe nani sasa unayosema hayo?

Ukraine anachofanya kwa sasa anatumia mbinu za kigaidi. Hata hizo drone hazirushwi kutoka Ukraine kwenda moja kwa moja Russia. Kumbuka hawa wote ni Slavic.

Ukraine anaingia moja kwa moja ndani ya Russia kama raia wa kawaida na kisha wanaanza operation mithili za kigaidi za kurusha drone na kufanya uharibifu wa hapa na pale.

Sasa hii mbinu kwenye uwanja wa vita haitomsaidia.
 
Maeneo yapi? Wakati CO ya Ukraine ilishafeli! Wamekufa takribani askari 49000+ wa Ukraine
Wamepigana kwa miezi 3.

Kipindi chote cha CO eneo la blue ndilo Ukraine walilorudisha. Sasa ndiyo wanafanya nini! Na jana wameuliwa huko huko kwenye maeneo waliyochukua hao Ukraine.

Ndio mnaaminishwa wakati Warusi wanaendelea kufukuziwa na kuachia ardhi, ila Putin atajibu nini kwa kweli maana amesababisha Warusi wamekufa wengi mno halafu hicho kidogo walikua wamenyakua kinawatokea puani.
 
Mabeberu hawana chochote wanachoweza kufanya kwa sasa! Kaangalie interview ya Tucker Carlson na Colonel Mcgregor.

Anasema US alibweteka wakati wapinzani wao walikuwa kila siku wanajiimarisha. Kuna mambo mengi sana wamepitwa kijeshi hususani na Russia. Na amesema kwa sasa USA haiwezi kwenda vitani moja kwa moja na Taifa kama la Russia.

Wewe nani sasa unayosema hayo?

Ukraine anachofanya kwa sasa anatumia mbinu za kigaidi. Hata hizo drone hazirushwi kutoka Ukraine kwenda moja kwa moja Russia. Kumbuka hawa wote ni Slavic.

Ukraine anaingia moja kwa moja ndani ya Russia kama raia wa kawaida na kisha wanaanza operation mithili za kigaidi za kurusha drone na kufanya uharibifu wa hapa na pale.

Sasa hii mbinu kwenye uwanja wa vita haitomsaidia.

Interview hazisaidii kitu, Mrusi ameishiwa na kupata aibu sana kwa kainchi kadogo, yaani tulitegemea Urusi itusaidie kwenye balance ya dunia ila sasa ndio hivyo, so useless.
 
Supapawa kadukuliwa kizembe sana, jamaa wameingia kwenye kanzidata na kufumua kila taarifa humo za safari zote...

Ukrainian hackers have hacked into the Russian database of the Sirena-Travel booking system, obtaining information on 664 million flights over the last 16 years. They also obtained the names, phone numbers and document numbers of the passengers.

Source: Vazhnye Istorii

Details: News of this was posted on the Telegram channel of the hacker community KibOrg.

An unknown group called Muppets, which is associated with KibOrg, is allegedly behind the hack.

Huu ujinga nitaanza kuutilia maanani huko mbele.
 
Tatizo wanamgambo wa Ukraine wanachanganyika na watoto.urusi hapigi vita ovyoovyo anapiga military targets.mnatakiwa mjielimishe mpo upande wa shetani.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app

Vita ni ushetani iwe inauwa wanajeshi au raia vita ni ushetani mkubwa sana inaua watu wasokua na hatia lakin pia inakatisha maisha ya watu inatenganisha na kutawanya familia inaacha watoto wakiwa bila wazazi ( yatima)
 
Mwafrica na Njaa zake ana take side ya vita 12.000km away, havimhusu....

Nyie mnaoshabikia mtume Putin kisa chuki zenu kwa Marekani hamuoni kama mna njaa zaidi...
 
Sijashabikia mtu, Bado najiuliza RT imepoteaje kwenye Cables all over the world, wakati CNN ipo on....

I invest on facts, not side......
 
Mabeberu hawana chochote wanachoweza kufanya kwa sasa! Kaangalie interview ya Tucker Carlson na Colonel Mcgregor.

Anasema US alibweteka wakati wapinzani wao walikuwa kila siku wanajiimarisha. Kuna mambo mengi sana wamepitwa kijeshi hususani na Russia. Na amesema kwa sasa USA haiwezi kwenda vitani moja kwa moja na Taifa kama la Russia.

Wewe nani sasa unayosema hayo?

Ukraine anachofanya kwa sasa anatumia mbinu za kigaidi. Hata hizo drone hazirushwi kutoka Ukraine kwenda moja kwa moja Russia. Kumbuka hawa wote ni Slavic.

Ukraine anaingia moja kwa moja ndani ya Russia kama raia wa kawaida na kisha wanaanza operation mithili za kigaidi za kurusha drone na kufanya uharibifu wa hapa na pale.

Sasa hii mbinu kwenye uwanja wa vita haitomsaidia.
Drone zinazoruhusiwa kuingia Ukraine ni za urusi tu?
 
Nyie mnaoshabikia mtume Putin kisa chuki zenu kwa Marekani hamuoni kama mna njaa zaidi...
Wanamshabikia Mrusi wanaacha kumwomba mrusi apeleke chakula somalia kwa ndugu zao wa kobaz wanaokufa njaa kila siku.
 
Back
Top Bottom