Wana viongozo wao wa Kitaifa na kimaeneo, wanatakiwa kutazama jambo hili ni kero kwa watu wengi, na mbaya zaidi huwa hawana utamaduni wa kumsalimu abiria kabla hawajamuuliza endapo anahitaji usafiri.Kwanini msitulie kijiweni mkawa mnabeba abiria wenu vizuri kwa zamu, akija abiria anaenda na huyu, akija mwingine anaenda na huyu mnakuwa na rotation nzuri kwa ustaarabu ili kila mtu apate mkate wa kila siku hizi papara zenu zina boa bana.
Waafrika wote sisi tunashida hapo kwenye kuweka mtiririko wao kupokea abiria kwa utaratibu mmmmh ni shida. Ukifika stendi tu sisi wenyewe tunavyoingia dirishani, kupigana vikumbo mlangoni utajua tu hatuko sawa.Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye maada.
Hivi sasa tunatambua bodaboda imekuwa ni kazi inayowasaidia vijana wengi sana kujikwamua kiuchumi katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu kitu ambacho ni kizuri sana.
Lakini kazi hii baadhi ya maeneo inafanywa kwa kukosa weledi na maarifa ya kibiashara, sijui ni kwa sababu wamekuwa wengi sana au tatizo nini?
Nakereka na tabia ya vijiwe vya bodaboda yaani mtu ukitokeza tu kwenye kona wanaza kukupigia honi na miluzi utafikiri mbuzi au mbwa kaiba mboga wengine kukukimbilia hovyo hovyo. Hivi kwanini msitulie tu kijiweni abiria si tunajua mnapopatikana.
Saa nyingine maeneo ya usafiri ukishuka tu kwenye gari kelele kibao za bodaboda na ukizubaa tu mara huyu kasha chukua na begi yaani tabu tupu.
Kwanini msitulie kijiweni mkawa mnabeba abiria wenu vizuri kwa zamu, akija abiria anaenda na huyu, akija mwingine anaenda na huyu mnakuwa na rotation nzuri kwa ustaarabu ili kila mtu apate mkate wa kila siku hizi papara zenu zina boa bana.
Nawapongeza bodaboda wa Mwanza na Tabora kidogo watulivu na hizi tabia ni chache kwao kama sio hawana kabisa.
Lakini baadhi yenu badilikeni, Pia vaeni vizuri hiyo ni kazi kama kazi nyingine mnajirundika makoti machafu na kofia za hovyo na hiyo miziki ya ajabu ajabu tena kwa sauti ya juu plus kuendesho hovyo.
Hahaha.. Ila wew jamaa.sasa bodaboda atatokaje kunyanduliwa tena ..Wanaboa sana kuna boda mmoja alinipakiza alikuwa ananuka harufu ya pumbu na mbunye sijui alitoka kunyanduliwa daaah wananuka sanaa
Kuondoa hiyo kero ya kudakwa dakwa,tumia bodaboda wa bolt au uber kwanza gharama ni nafuu halafu wanajua wafanyacho.Nachukizwa sana pale bodaboda anapopakia abiria halafu mziki sauti mpaka mwisho...wanafikiri abiria wote wapenda heka heka.
Hii tabia ya kudaka daka watu hovyo imeibuka pia pale Makumbusho (Dsm)stand...ile migahawa pale around.
Sorry sijawahi kua na prado, labda km umenifananisha.Ile Prado yako uliuza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lolWanaboa sana kuna boda mmoja alinipakiza alikuwa ananuka harufu ya pumbu na mbunye sijui alitoka kunyanduliwa daaah wananuka sanaa
Wapo boda boda wasafi na watanashati,Kwamba boda apaki piki piki nyumbani ili afue jaketi lake?
Hujui hii kazi jamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan watu wanatema cheche hatareeeh. LolWengine hata boksa na chupi zao zinanuka halikadhalika midomo na meno ndio usiseme ni shiidaaa kubwa.
Na wengine kutwa nzima anatembea na toothpick mdomoni.
Wengi wa bodaboda ni washamba sana.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikishuka kwenye daladala hawa hapa, wanasahau natembea tu kuingia kazini kwangu....au nikiwa na gari yangu nikishuka kwenda kununua vocha hawa hapa, tayari wameshasahau nimeshuka kwenye ndinga yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahBoda boda wa arusha hao.yani unapanda boda uku una sali wamekaa kijambazi tu na boda zao
Aiseee[emoji16][emoji16]Wanaboa sana kuna boda mmoja alinipakiza alikuwa ananuka harufu ya pumbu na mbunye sijui alitoka kunyanduliwa daaah wananuka sanaa
Yaah tupo mkuu!Boda boda watakuwa humu?
Eeeh!Tangu lini wavuta bangi wakawa organised , hawana akili hata chembe hao ndiomaana wanasiasa wanawageuza kuwa mitaji yao ya kisisasa
Ni kweli kabisa Mkuu sisi ni washamba ila wake na madem zenu wanapenda sana kuleta shobo ili tuwagonge nao, sijui kwanini?!Wengine hata boksa na chupi zao zinanuka halikadhalika midomo na meno ndio usiseme ni shiidaaa kubwa.
Na wengine kutwa nzima anatembea na toothpick mdomoni.
Wengi wa bodaboda ni washamba sana.!