Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

Umaarufu ni kitu kizito, japo haifahamiki kwa hakika alifanya nini (Dayandimo) akiwa na Sean "P Diddy/Puff Dady" Combs bado kuna shaka linaibuka.
Futa Baby oil lazima lilihusika kwenye mambo mengine ya siri ,wewe ufanye kazi ya sanaa na Diddy usiseme? Miaka ishapita lakini hajawahi kusema alienda kufanya nini kwenye hiyo siri.
 
Baby Johnson...mafuta ya diddy haya

Hata nati ziwe ngumu vipi ukimwagia haya inalegea vizuri tu na inafunguliwa bila ya tabu...

Diamond platinumz atueleze alifanywa nini na P Diddy?
 
Kuna tweet moja kule kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) imepostiwa ikidahi bado watu wawili ambao ni Jay Z na Oprah Winfrey madudu yao hayajafunguliwa! The clock is still ticking!
Huyu oprah ana madudu gani tena
 
Diamond na Burna boy, ni moja ya wasanii wa Africa waliongiliwa na pdiddy
Walipeleka vijambio wenyewe huko miami....maninaaaa.

Diddy kavimwagia johnson baby oil na kuwasokomezea butt plugs ili milango ilegeelegee kabla ya kuwatafuna.

Wamerudi huku Afrika wakaanza kuvaa vikuku,kutoboa pua n.k
 
Habambikiwi mtu kesi huko. huyu jamaa ni "NABOBO" kabisa.
 
Diddy angekuwa anawafira hao wasanii kwa ridhaa zao basi isingekuwa big deal...tatizo ni kuwarecord bila ya ridhaa zao mara baada ya kuwawekea drugs kwenye vinywaji na kisha akiwa blackmail kwa kutumia videos alizowarekodi ili kujinufaisha yeye na biashara zake. Hilo ndio kosa lake kubwa.
 
Nimekuambia ushoga unaletwa kwa ubakaji kwa sababu asilimia 90 ya mashoga wote wamefanyiwa hivyo vitendo chini ya miaka 18 iwe kwa ridhaa au la kisheria chini ya miaka 18 ni ubakaji umeelewa wewe zuzu.hivyo serikali ya marekani ni wanafiki
 
Ngono haijawahi kumuacha mtu salama
Mtu ana mke na watoto hela rundo anafanya uchafu huo
Blacks baadae ni kulalamika ooh wazungu wanaona wivu kwa utajiri
Watanyooka tu
Na wakili watakula mpaka ziishe na ndio mpango mzima
US sio Africa unaponunua crime
 
Mmmhhh ila pesa hizi zina mambo mengi nyuma ya pazia. Unaweza ukamuhusudu mtu kwa ukwasi wake kumbe yaliyomo yamo. Watu wanaishi kwa masharti na wengine wanaishi km mashetani katika maumbo ya binaadam.

Halafu bwana Mungu Ukimkufuru Anakuperemba tu ila ipo siku Anakuadhirisha vibaya mnoo,malipo duniani
 
Walipeleka vijambio wenyewe huko miami....maninaaaa.

Diddy kavimwagia johnson baby oil na kuwasokomezea butt plugs ili milango ilegeelegee kabla ya kuwatafuna.

Wamerudi huku Afrika wakaanza kuvaa vikuku,kutoboa pua n.k
Ddaah. Km ni kweli so sad 😞
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…