Tetesi: Wafadhili wa Lissu na CHADEMA wamwahidi Lissu Helkopta 3 na magari 31 mapya kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Hata kama TAL atagawa punda Kwa Kila mpiga kura,hakuna uwezekano kupewa Uwenyekiti Chadema Taifa!
 
Reactions: Ame
Hata watoe ahadi ya kumpatia jeshi la anga na ardhini kwa ajili ya kulinda kura, lazima atambuwe kwamba kwa staili ya anavyoendesha siasa zake hotokaa awe mwenyekiti wa CHADEMA achilia mbali urais wa nchi.
Ushindwe pepo Jezebel kwa jina la Yesu Kristo. Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻

Hata hujui kuwa risasi 16 za SMG na AK45 zilishindwa kumuua kwa sababu Mungu alizuia kifo chake kwa wakati kama huu, atimize kusudi la Mungu..!

Tangu lini Giza likaweza kuishinda au kuizuia nuru ising'ae na kulifukuza giza...?

HAKI HUINUA TAIFA. TUNDU LISSU NI MTU WA HAKI. HAKI HUCHELESHWA TU LAKINI HAKI DAIMA NI MSHINDI.

AMINA🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Aanzishe kikoba chake nayeye, hiki chakwetu HAPANA.
 
Kama ni kweli. Kuna mkono wa madon wakubwa na watu wazito ambao wapo tayari hii ccm izamishwe na watasaidia
 
Ahaaaaaaaa we ndo unatusanua weka ushahidi
 


Mbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti
 
A hypocrite is a person who pretends to have beliefs, values, or moral standards that they do not actually possess or follow.
Hypocrites often criticize others for behaviors they themselves engage in, or they publicly advocate for principles they secretly violate.
 
Hakuna narudia tena hakuna mtu au watu wenye akili timamu wanaweza kumuahidi Lissu vitu hivyo. Hakuna.
 
Tuwe makini na hizi tetesi shetani akishindwa mbinu moja hutumia nyingine na anazo jumla yake 7×70
 
Sawa lkn kwani kugombea urais lazima uwe Mkiti.
Mimi sina isue kubwa na Lisu, my point is: LISU ANATAFUATA UENYEKITI KWA KUKIPASUA CHAMA, KUIUA CHADEMA. Angelitumia busara, "unyenyekevu", uungwana na si kashifa kwa wenzake na kuropoka ya sirini...kwa katiba yao....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…