milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Hata kama TAL atagawa punda Kwa Kila mpiga kura,hakuna uwezekano kupewa Uwenyekiti Chadema Taifa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unyoofu wa konyoLissu akiwa mwenyekiti chadema, binafsi nitaingiza wanachama wapya 100 kwa gharama zangu siku 2 tu.Lissu ni mnyoofu na anastahili kuwa mwenyekiti wa chadema taifa
Gari ni lake Ndege ni za CHADEMA.Yeye mwenyewe hata michango wa gari umekwama
Ndege za konyoGari ni lake Ndege ni za CHADEMA.
Ushindwe pepo Jezebel kwa jina la Yesu Kristo. Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻Hata watoe ahadi ya kumpatia jeshi la anga na ardhini kwa ajili ya kulinda kura, lazima atambuwe kwamba kwa staili ya anavyoendesha siasa zake hotokaa awe mwenyekiti wa CHADEMA achilia mbali urais wa nchi.
Aanzishe kikoba chake nayeye, hiki chakwetu HAPANA.View attachment 3186235
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025.
Haijafahamika Helkopta hizo zitakuwa mpya au used wakati pia utaongea.
Funzo, Huenda Wafadhili na wahisani wengi wako tayari kuisaidia CHADEMA ila hawakuwa na imani na Mbowe kwa kipindi kirefu na mbaya ni hii ya uswaiba wake na Mwenyekiti wa CCM hawaamini kama kweli kwa maridhiano yake hawezi kuwataja pia wadhamini wa Chama kwa majina yao au ya kampuni zao.
Uadilifu na Uaminifu ni muhimu sana
Happy New Year 2025.
Kama ni kweli. Kuna mkono wa madon wakubwa na watu wazito ambao wapo tayari hii ccm izamishwe na watasaidiaView attachment 3186235
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025.
Haijafahamika Helkopta hizo zitakuwa mpya au used wakati pia utaongea.
Funzo, Huenda Wafadhili na wahisani wengi wako tayari kuisaidia CHADEMA ila hawakuwa na imani na Mbowe kwa kipindi kirefu na mbaya ni hii ya uswaiba wake na Mwenyekiti wa CCM hawaamini kama kweli kwa maridhiano yake hawezi kuwataja pia wadhamini wa Chama kwa majina yao au ya kampuni zao.
Uadilifu na Uaminifu ni muhimu sana
Happy New Year 2025.
Haahaa mambo yamegeukaMbowe kwa sasa wenda analala na viatu, spana anazopigwa sio za dunia hii
😂😂😂Aanzishe kikoba chake nayeye, hiki chakwetu HAPANA.
Haahaa sio mbaya kama wanachadema. Wataamua hivoHata kama TAL atagawa punda Kwa Kila mpiga kura,hakuna uwezekano kupewa Uwenyekiti Chadema Taifa!
Ahaaaaaaaa we ndo unatusanua weka ushahidiView attachment 3186235
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025.
Haijafahamika Helkopta hizo zitakuwa mpya au used wakati pia utaongea.
Funzo, Huenda Wafadhili na wahisani wengi wako tayari kuisaidia CHADEMA ila hawakuwa na imani na Mbowe kwa kipindi kirefu na mbaya ni hii ya uswaiba wake na Mwenyekiti wa CCM hawaamini kama kweli kwa maridhiano yake hawezi kuwataja pia wadhamini wa Chama kwa majina yao au ya kampuni zao.
Uadilifu na Uaminifu ni muhimu sana
Happy New Year 2025.
Mbowe hastahili kuwa m/kiti maana atakuwa kirusi kwenye kampeniSawa lkn kwani kugombea urais lazima uwe Mkiti.
View attachment 3186235
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025.
Haijafahamika Helkopta hizo zitakuwa mpya au used wakati pia utaongea.
Funzo, Huenda Wafadhili na wahisani wengi wako tayari kuisaidia CHADEMA ila hawakuwa na imani na Mbowe kwa kipindi kirefu na mbaya ni hii ya uswaiba wake na Mwenyekiti wa CCM hawaamini kama kweli kwa maridhiano yake hawezi kuwataja pia wadhamini wa Chama kwa majina yao au ya kampuni zao.
Uadilifu na Uaminifu ni muhimu sana
Happy New Year 2025.
Mbowe atapigwa kipigo cha mbwa koko , wajumbe pesa ikifika kuleni ,ila jua cha kufanyaMbowe ataendelea kuwa Mwenyekiti
Hakuna narudia tena hakuna mtu au watu wenye akili timamu wanaweza kumuahidi Lissu vitu hivyo. Hakuna.View attachment 3186235
Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025.
Haijafahamika Helkopta hizo zitakuwa mpya au used wakati pia utaongea.
Funzo, Huenda Wafadhili na wahisani wengi wako tayari kuisaidia CHADEMA ila hawakuwa na imani na Mbowe kwa kipindi kirefu na mbaya ni hii ya uswaiba wake na Mwenyekiti wa CCM hawaamini kama kweli kwa maridhiano yake hawezi kuwataja pia wadhamini wa Chama kwa majina yao au ya kampuni zao.
Uadilifu na Uaminifu ni muhimu sana
Happy New Year 2025.
Mimi sina isue kubwa na Lisu, my point is: LISU ANATAFUATA UENYEKITI KWA KUKIPASUA CHAMA, KUIUA CHADEMA. Angelitumia busara, "unyenyekevu", uungwana na si kashifa kwa wenzake na kuropoka ya sirini...kwa katiba yao....Sawa lkn kwani kugombea urais lazima uwe Mkiti.