Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

Vijana Wa kataa ndoa wenyewe tupo kimya tu Ila wengne ndo wapigao kelele na kuanzisha manyuzi kila kukicha humu kutusema, kiufupi Vijana Wa KATAA NDOA tunaongoza tayri Point 12 na Viporo vya mechi 5 mkononi

KATAA NDOA
NDOA NI UCHAWI
 
Ni nadharia tu.
Anayeoa aoe
Usipooa kisha ukatia mimba binti yangu basi kaa tayari kubebeshwa mimba na mimi baba yake.
Kama unamkunja binti yangu mkunje vema tu sina tatizo kikubwa usimtie mimba. Ukitia mimba unaoa, usipooa basi kaa kwa kutulia kwani ze future ze gud.
 
Umemaliza kila kitu asee nilijua utaisahau hio point ya ushoga mara naiona hapo chini
Vijana wengi wanaokataa ndoa wengi ni mashoga na wasagaji wazee wa upinde
 
Jamaa mnatupa tuhuma nzito sana!!!Sisi tumeamua tuu kukataa ndoa bila sababu yeyote!!!Hatutaki kuoa
 
Wasamehe mkuu bado hawajajitambua, wakikua wataacha huu ujinga. Hali za maisha zinawapelekea hivyo.
 
Mwanaume kukimbilia ndoa ni kukimbilia kifo tena cha mateso. KATAA NDOA
NDOA NI UFIRIMASO
KATAA NDOA
NDOA NI USHETANI
KATAA NDOA
NDOA NI DECI/KILIMO CHA VANILLA/QNET

Leo nimeamua kujiunga rasmi na hii movement, nipokeeni
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787]we jamaaAa
 
100%
True.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…