Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo

👉Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi , They are not financially stable , Hawana Ajira, hawawezi kuoa Kwa sababu hawana Uwezo wakutoa mahari na Kwa bahati mbaya sana wanaogopa gharama za kutunza mwanamke !!..... Kwao kipato Chao kinatosheleza tu kulipia Lodge ,Msosi ,kula mbususu, basi imeisha !!..... ( hili waweza lithibitisha kwenye nyuzi za Ajira, kulaumu Serikali kuhusu nyongeza za mishahara n.k )

👉Vijana Hawa wengi ni wanaishi mikoa ya Dar, Tanga, na ukanda wa pwani Kwa ujumla na Arusha ,, hii ndio mikoa Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Vijana wa hovyo , wanapenda sana Anasa, Sio wachapakazi , wanapenda kazi laini laini sanaaa, hii inawafanya wawe na mzungukzo kiduchu wa Pesa, matokeo yake Pesa wanayopata inawatosheleza wenyewe tu ,hawawezi kuhudumia Mke na watoto.... Hii inawalimu wawe wanataka kula tunda na kusepa!!.

👉Vijana Hawa wengi ni Waoga wa kitu wasichokijua, Asilimia kubwa Wanaishi kwakuangalia Maisha ya wengine bila kujua hapa Dunian Kila Mmoja ana Njia yake ya kuishi !!.

👉Vijana Hawa ni kweli Wana elimu za Kati na juu , ila siwez kukataa ukweli kwamba, kua na Elimu Kwa hapa Tanzania, hakumfanyi mtu asiwe mbumbumbu.

👉Ni Vijana pekee ambao wanataman wapate watoto, ila kamwe kuwahudumia hao watoto ni kazi sana !!.

👉Kwa bahati mbaya sana, ni Vijana wa STAREHE ambao pamoja na kwamba sote ni wafanya dhambi, Vijana Hawa, Sina hakika kama Kuna wanakwenda mbele ya makanisa / misikiti kumucha Mungu wao.

👉Vijana hawa ndani yake Kuna Mashoga ,Kwa Sasa Wana shindana na Wanawake , kwahivo inawalazim Vijana wao watumie mbinu za kininja ili tu wapate mabwana.

👉Vijana ambao ,Kwa namna fulan, ama malezi ,au mazingira yao yamewaathiri , nahii sasa inapelekea Ongezeko la Magonjwa ya Akili Kwa Vijana.

NAWASHAURI, KUOA, OENI UNGALI BADO MNANGUVU, MAISHA YA MWANAUME JUU YA MIAKA 50, YANAMTEGEMEA SANA MWANAMKE KWA ASILIMIA 100 !!.
Tuombe radhi don't generalize please uache dharau kukataa ndoa tupo wengi na weka mipaka.

Kataa ndoa ni msingi
Kataa kuoa ni wito

Wadiz
 
đź‘˝Wengi wanaishi kwao, wananunuliwa miswaki na mama zao.
 
Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo

[emoji117]Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi , They are not financially stable , Hawana Ajira, hawawezi kuoa Kwa sababu hawana Uwezo wakutoa mahari na Kwa bahati mbaya sana wanaogopa gharama za kutunza mwanamke !!..... Kwao kipato Chao kinatosheleza tu kulipia Lodge ,Msosi ,kula mbususu, basi imeisha !!..... ( hili waweza lithibitisha kwenye nyuzi za Ajira, kulaumu Serikali kuhusu nyongeza za mishahara n.k )

[emoji117]Vijana Hawa wengi ni wanaishi mikoa ya Dar, Tanga, na ukanda wa pwani Kwa ujumla na Arusha ,, hii ndio mikoa Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Vijana wa hovyo , wanapenda sana Anasa, Sio wachapakazi , wanapenda kazi laini laini sanaaa, hii inawafanya wawe na mzungukzo kiduchu wa Pesa, matokeo yake Pesa wanayopata inawatosheleza wenyewe tu ,hawawezi kuhudumia Mke na watoto.... Hii inawalimu wawe wanataka kula tunda na kusepa!!.

[emoji117]Vijana Hawa wengi ni Waoga wa kitu wasichokijua, Asilimia kubwa Wanaishi kwakuangalia Maisha ya wengine bila kujua hapa Dunian Kila Mmoja ana Njia yake ya kuishi !!.

[emoji117]Vijana Hawa ni kweli Wana elimu za Kati na juu , ila siwez kukataa ukweli kwamba, kua na Elimu Kwa hapa Tanzania, hakumfanyi mtu asiwe mbumbumbu.

[emoji117]Ni Vijana pekee ambao wanataman wapate watoto, ila kamwe kuwahudumia hao watoto ni kazi sana !!.

[emoji117]Kwa bahati mbaya sana, ni Vijana wa STAREHE ambao pamoja na kwamba sote ni wafanya dhambi, Vijana Hawa, Sina hakika kama Kuna wanakwenda mbele ya makanisa / misikiti kumucha Mungu wao.

[emoji117]Vijana hawa ndani yake Kuna Mashoga ,Kwa Sasa Wana shindana na Wanawake , kwahivo inawalazim Vijana wao watumie mbinu za kininja ili tu wapate mabwana.

[emoji117]Vijana ambao ,Kwa namna fulan, ama malezi ,au mazingira yao yamewaathiri , nahii sasa inapelekea Ongezeko la Magonjwa ya Akili Kwa Vijana.

NAWASHAURI, KUOA, OENI UNGALI BADO MNANGUVU, MAISHA YA MWANAUME JUU YA MIAKA 50, YANAMTEGEMEA SANA MWANAMKE KWA ASILIMIA 100 !!.
Sure
 
Kataa ndoa ndoa ubaguzi ndoa ni ubinafsi, ndoa ni ubeberu Unazi, ukoloni mamboleo, unyonyaji kwa mwanaume wa kiafrika tena mweusi, ndoa ni ushetani wasisi wa kataa ndoa Yesu kristo mwenyewe
 
Screenshot_20220527-123208.png
 
Baada ya Kupita pita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali Kwa lengo la Kuona ni Kwa ukubwa gan hii kampeni ya Kataa Ndoa imefikia, na kundi gan la Vijana linaloshadidia hii kampeni , nikagundua yafuatayo

[emoji117]Vijana Hawa wengi wao ni hawana Ajira Rasimi japo wapo wenye Ajira ,,,yan Kwa ufupi , They are not financially stable , Hawana Ajira, hawawezi kuoa Kwa sababu hawana Uwezo wakutoa mahari na Kwa bahati mbaya sana wanaogopa gharama za kutunza mwanamke !!..... Kwao kipato Chao kinatosheleza tu kulipia Lodge ,Msosi ,kula mbususu, basi imeisha !!..... ( hili waweza lithibitisha kwenye nyuzi za Ajira, kulaumu Serikali kuhusu nyongeza za mishahara n.k )

[emoji117]Vijana Hawa wengi ni wanaishi mikoa ya Dar, Tanga, na ukanda wa pwani Kwa ujumla na Arusha ,, hii ndio mikoa Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Vijana wa hovyo , wanapenda sana Anasa, Sio wachapakazi , wanapenda kazi laini laini sanaaa, hii inawafanya wawe na mzungukzo kiduchu wa Pesa, matokeo yake Pesa wanayopata inawatosheleza wenyewe tu ,hawawezi kuhudumia Mke na watoto.... Hii inawalimu wawe wanataka kula tunda na kusepa!!.

[emoji117]Vijana Hawa wengi ni Waoga wa kitu wasichokijua, Asilimia kubwa Wanaishi kwakuangalia Maisha ya wengine bila kujua hapa Dunian Kila Mmoja ana Njia yake ya kuishi !!.

[emoji117]Vijana Hawa ni kweli Wana elimu za Kati na juu , ila siwez kukataa ukweli kwamba, kua na Elimu Kwa hapa Tanzania, hakumfanyi mtu asiwe mbumbumbu.

[emoji117]Ni Vijana pekee ambao wanataman wapate watoto, ila kamwe kuwahudumia hao watoto ni kazi sana !!.

[emoji117]Kwa bahati mbaya sana, ni Vijana wa STAREHE ambao pamoja na kwamba sote ni wafanya dhambi, Vijana Hawa, Sina hakika kama Kuna wanakwenda mbele ya makanisa / misikiti kumucha Mungu wao.

[emoji117]Vijana hawa ndani yake Kuna Mashoga ,Kwa Sasa Wana shindana na Wanawake , kwahivo inawalazim Vijana wao watumie mbinu za kininja ili tu wapate mabwana.

[emoji117]Vijana ambao ,Kwa namna fulan, ama malezi ,au mazingira yao yamewaathiri , nahii sasa inapelekea Ongezeko la Magonjwa ya Akili Kwa Vijana.

NAWASHAURI, KUOA, OENI UNGALI BADO MNANGUVU, MAISHA YA MWANAUME JUU YA MIAKA 50, YANAMTEGEMEA SANA MWANAMKE KWA ASILIMIA 100 !!.
Narudia tena "KATAA NDOA"

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Ukisiona dume zima na pmbu mbili linasema/andika Kataa ndoa usipate shinda hilo ni Papai aka choko.
 
Unashangaza

Watu wa Arusha wanafanya kazi laini laini???

Watu wanachimba migodi mwaka mzima throughout na wengine kupasua kukoto ndio kazi laini?

Kuhusu kupenda anasa ni kweli ila sio hao tu, anasa inapendwa na watu wa mikoa yote
 
Ni nadharia tu.
Anayeoa aoe
Usipooa kisha ukatia mimba binti yangu basi kaa tayari kubebeshwa mimba na mimi baba yake.
Kama unamkunja binti yangu mkunje vema tu sina tatizo kikubwa usimtie mimba. Ukitia mimba unaoa, usipooa basi kaa kwa kutulia kwani ze future ze gud.
ni vile tu hatujamjua binti yako
 
NDOA NI UNYONYAJI, NA KUTAWALIWA

unapangiwa muda wa kurudi
unadaiwa hela ambayo wewe mwenyewe huna (hujawahi kuwa na matumizi ya hivyo)
unanyimwa uhuru

KATAA NDOA TUTAOA LAKINI BAADAE SANA
 
Back
Top Bottom