Wafaham Vijana wa kampeni ya "Kataa Ndoa " !!

Tuombe radhi don't generalize please uache dharau kukataa ndoa tupo wengi na weka mipaka.

Kataa ndoa ni msingi
Kataa kuoa ni wito

Wadiz
 
👽Wengi wanaishi kwao, wananunuliwa miswaki na mama zao.
 
Sure
 
Kataa ndoa ndoa ubaguzi ndoa ni ubinafsi, ndoa ni ubeberu Unazi, ukoloni mamboleo, unyonyaji kwa mwanaume wa kiafrika tena mweusi, ndoa ni ushetani wasisi wa kataa ndoa Yesu kristo mwenyewe
 
Narudia tena "KATAA NDOA"

Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
 
Ukisiona dume zima na pmbu mbili linasema/andika Kataa ndoa usipate shinda hilo ni Papai aka choko.
 
Unashangaza

Watu wa Arusha wanafanya kazi laini laini???

Watu wanachimba migodi mwaka mzima throughout na wengine kupasua kukoto ndio kazi laini?

Kuhusu kupenda anasa ni kweli ila sio hao tu, anasa inapendwa na watu wa mikoa yote
 
ni vile tu hatujamjua binti yako
 
NDOA NI UNYONYAJI, NA KUTAWALIWA

unapangiwa muda wa kurudi
unadaiwa hela ambayo wewe mwenyewe huna (hujawahi kuwa na matumizi ya hivyo)
unanyimwa uhuru

KATAA NDOA TUTAOA LAKINI BAADAE SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…