Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao


Wengi ni wapya watakao kwenda kumpitisha mkulu abadilishe katiba ili jamaa awe mtawala wa kudumu. Yaani hii game ova.

Kumbuka
Andrew chenge chali nguli wa sheria
Wamewapitisha
Kibajaji
Kesi
Waliotaka mambo yaendelee
 
Pia kule namtumbo Vita Kawawa alishindwa na eng. Ngonyani lakini V. Kawawa ndo kateuliwa.
Naona watoto wa wakubwa wa nchi wamepenyezwa kwa wingi nadhani lengo ni kuwaandaa na pia waendelee kula kimvulini
Wapo watoto wawili wa mzee Mwinyi
Wawili wa jakaya
Yupo mtoto wa pinda na wengine tu ukisikia jina unajua mulemule
 
Wanaoshinda hapo ni Kimei na mwana FA tu. Gwajima na Silinde hawashindi ata iweje na sababu ni kuwa wanagombea majimbo magumu sana yenye watu wagumu sana!!
Unapiga kura kwa kufuata mapigo ya moyo wako
 
Mwenye chama chake ndio ameshaamua hivyo.
 
Ni haki yake na anafaa upinzani sababu ni critic ila hasira za hivi hazina mwisho mzuri. Siasa zina hesabu zake, hata akienda upande mwingine kwa CCM ya awamu hii atashindwa tu! Akijichanganya tu ameharibu mazima.
Ushauri mzuri. Kucheza na Magu haihitaji hasira.
Akaongee na Lawrence Mbasha asikie yaliyomkuta, licha yakurudi bila mkia 🤭
 
Yani kwa Shinyanga mjini meza imepinduliwa vibaya mno.

Huyu jamaa akibaki CCM nameza kisu!
Mali ya CDM hiyo. Vinginevyo ACT wazalendo tafadhali chukueni hicho kifaa. Shinyanga mjini chagueni chama atakachohamia. Na mpatieni Kura zote za ndiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…