Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio tuu kabila ni ndugu kabisa, huyo jamaa hajui anachokiongea.Unajua aliyeshinda Kawe kabila gani?
Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde
Manyara
Jimbo la Babati Mjini
- Pauline Gekul
Kilimanjaro
Jimbo la Vunjo
- Charles Kimei
Shinyanga
Jimbo la Shinyanga Mjini
- Patrobas Katambi
Mtwara
Jimbo la Ndanda
- Cecil Mwambe
Geita
Jimbo la Busanda
- Tumaini Braison Magesa
Kagera
Jimbo la Bukoba Mjini
- Stevine Lujahuka Byabato
Katavi
Jimbo la Kavuu
- Jofrey Mizengo Pinda
Kigoma
Jimbo la Kusini/ Uvinza
- Nashon Bidyanguze
Rukwa
Jimbo la Nkasi Kusini
- Vincent Mbogo
Ruvuma
Jimbo la Mbinga Mjini
- Jonas Mbunda
Jimbo la Namtumbo
- Kawawa Vita Rashid
Njombe
Jimbo la Wanging'ombe
- Dk. Festo John Dugange
Tabora
Jimbo la Kaliua
- Aloyce Kwezi
Shinyanga
Jimbo la Kishapu
- Boniface Butondo
Wafuatao ni wagombea Waliogongana idadi ya kura za maoni lakini akapitishwa mmoja: Morogoro
Jimbo la Mlimba
- Godwin Kunambi
Mwanza
Jimbo la Buchosa
- Erick Shigongo
Mara
Jimbo la Mwibara
- Charles Kajege
= Orodha zaidi inakujia hivi punde =
Pia Soma
= > Uchaguzi 2020 - Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
= > Uchaguzi 2020 - Yanayojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Wagombea Ubunge na Uwakilishi kujulikana leo
Naona watoto wa wakubwa wa nchi wamepenyezwa kwa wingi nadhani lengo ni kuwaandaa na pia waendelee kula kimvuliniPia kule namtumbo Vita Kawawa alishindwa na eng. Ngonyani lakini V. Kawawa ndo kateuliwa.
Hata sijui kama ulielewa unachojibuOna huyu nae sijui hangover inamsumbua we JPM ang'olewe na nani!?,.
Aye jipeni matumaini tu.
Ila wewe ulielewa nilichojibu!Hata sijui kama ulielewa unachojibu
Unapiga kura kwa kufuata mapigo ya moyo wakoWanaoshinda hapo ni Kimei na mwana FA tu. Gwajima na Silinde hawashindi ata iweje na sababu ni kuwa wanagombea majimbo magumu sana yenye watu wagumu sana!!
Ushauri mzuri. Kucheza na Magu haihitaji hasira.Ni haki yake na anafaa upinzani sababu ni critic ila hasira za hivi hazina mwisho mzuri. Siasa zina hesabu zake, hata akienda upande mwingine kwa CCM ya awamu hii atashindwa tu! Akijichanganya tu ameharibu mazima.
Yani kwa Shinyanga mjini meza imepinduliwa vibaya mno.
Huyu jamaa akibaki CCM nameza kisu!
Mali ya CDM hiyo. Vinginevyo ACT wazalendo tafadhali chukueni hicho kifaa. Shinyanga mjini chagueni chama atakachohamia. Na mpatieni Kura zote za ndiyoYani kwa Shinyanga mjini meza imepinduliwa vibaya mno.
Huyu jamaa akibaki CCM nameza kisu!
Masele hana jeuri hiyo tatizo lake anayo makando kando mengi ya huko nyuma alipo kuwa Naibu Waziri wa madiniHata ningekuwa Mimi, yaani ukatwe kisa uligombama na Ndugai? Hiki ni kigezo Namba ngapi kwenye kanuni za CCM?
Ndugai mnamsingizia tu. Masele ana ishu zake kwenye madini. Msifikiri wajuaji wako JF tu.Hata ningekuwa Mimi, yaani ukatwe kisa uligombama na Ndugai? Hiki ni kigezo Namba ngapi kwenye kanuni za CCM?