Magulumelafulu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2021
- 495
- 602
Haidhuru ukituwekeaNilishaweka.ni wewe kutafuta tu uzi wake.mimi hakuna kitu ambacho sijatoa Elimu katika jukwaa hili.
Nina mambo mengi sana ya kuweka muda huu mpaka muda hautoshi kabisa.hapa bado sijaweka uchambuzi wa uteuzi wa Mheshimiwa Stephen Wasira,bado sijaweka nini watanzania watarajie baada ya uteuzi huo n.k.Haidhuru ukituwekea
Ni mchapakazi na mtu makini sana.Duuuuuh kweli ndo tumefika huku siamini hata kidogo naomba kufahamu japo kidogo mashiko ya utendaji wake toka enzi za Nyerere kweli nyota na uchawa huamua si utendaji
Acha kudharau wazee.Wazee ni hazina.Usione tunaishi kwa amani ukadhani ni busara za vijana tu ndio zinaongoza nchi.Ina maana hata baba yako humuamini kuwa ana busara za kuweza kuongoza familia yenu?Mbona ukirudi kule kijijini kwenu unawapigia wazee wako magoti na kuwaomba wakumiminie baraka zote.Kwa hiyo kwenye siasa tu ndio uone wazee hawana thamani.Was it necessary to have that good for nothing, sycophantic, academic retarded, mzee as makamu mwenyekiti!
Ccm is dead, ipo inaoza! Asilimia 75 ya population ni vijana under 40! Unachagua makamu jitu la miakq 80+! Samia alitaka jitu kilaza,litakolokuwa kila kitu ni ndio mzee!
Kwa, wasira hii nafasi ni kama fadhila, kumtoa kwenye umaskini wake! Kwa nini asingeteuliwa Mark mwandosya, au Elvis Mwamunyange(CDF wa zamani, tunajua ni mwanaccm),! Pathetic
Unasema, “Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu…” Really?Ndugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni nafasi ambayo hushikwa na imeshikwa na watu wenye kuijua vyema historia ya Taifa letu ya wapi tumetoka ,wapi tulipo na wapi tunakwenda . Ni watu ambao walizaliwa kabla ya uhuru na hivyo wana uchungu mkubwa sana na chama hiki pamoja na Taifa letu.
Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu .ni watu ambao kwao ni Taifa kwanza mtu baadaye.Ni Chama kwanza na maslahi ya mtu baadaye. Ni watu ambao wanajua misingi ya CCM kwa undani na pengine wamekuwa Sehemu yake katika kuitengeneza.
Ni watu ambao wameshiriki pengine katika kuandaa au kutoa maoni katika ilani za CCM katika miaka yote .ni watu ambao wanajua misingi ya Taifa letu na wanatambua CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Na ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa letu. na kwamba ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kiongozi bora ni lazima atoke CCM.View attachment 3205352
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huna adabu kabisa wewe
Wamekuzimia taa kudadadadeqAcha ujinga na uzushi wako hapa wewe.
Taa ipi dogo.Wamekuzimia taa kudadadadeq
MUHIMUNdugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni nafasi ambayo hushikwa na imeshikwa na watu wenye kuijua vyema historia ya Taifa letu ya wapi tumetoka ,wapi tulipo na wapi tunakwenda . Ni watu ambao walizaliwa kabla ya uhuru na hivyo wana uchungu mkubwa sana na chama hiki pamoja na Taifa letu.
Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu .ni watu ambao kwao ni Taifa kwanza mtu baadaye.Ni Chama kwanza na maslahi ya mtu baadaye. Ni watu ambao wanajua misingi ya CCM kwa undani na pengine wamekuwa Sehemu yake katika kuitengeneza.
Ni watu ambao wameshiriki pengine katika kuandaa au kutoa maoni katika ilani za CCM katika miaka yote .ni watu ambao wanajua misingi ya Taifa letu na wanatambua CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Na ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa letu. na kwamba ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kiongozi bora ni lazima atoke CCM.View attachment 3205352
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mungu asipoulinda mji aulindaye akesha bure.MUHIMU
HUYU MAKAMU MWENYEKITI WA SASA APEWE ULINZI ULIO NA NYONGEZA KIDOGO UKILINGANISHA NA WATANGULIZI WAKE WOTE
ULINZI WA HUYU WA SASA INABIDI UONGEZWE KIDOGO
SIHITAJI KUYAFAHAMU MAJITU YALIYOFILISI NCHINdugu zangu Watanzania,
Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.
Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.
Ni nafasi ambayo hushikwa na imeshikwa na watu wenye kuijua vyema historia ya Taifa letu ya wapi tumetoka ,wapi tulipo na wapi tunakwenda . Ni watu ambao walizaliwa kabla ya uhuru na hivyo wana uchungu mkubwa sana na chama hiki pamoja na Taifa letu.
Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu .ni watu ambao kwao ni Taifa kwanza mtu baadaye.Ni Chama kwanza na maslahi ya mtu baadaye. Ni watu ambao wanajua misingi ya CCM kwa undani na pengine wamekuwa Sehemu yake katika kuitengeneza.
Ni watu ambao wameshiriki pengine katika kuandaa au kutoa maoni katika ilani za CCM katika miaka yote .ni watu ambao wanajua misingi ya Taifa letu na wanatambua CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.
Na ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa letu. na kwamba ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kiongozi bora ni lazima atoke CCM.View attachment 3205352
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ondoa mahasira yako hapaSIHITAJI KUYAFAHAMU MAJITU YALIYOFILISI NCHI
Ndugu zangu Watanzania,

Nitakuwekea.ila Kwa kawaida Rais wa Zanzibar ndiye anakuwa makamu Mwenyekiti wa CCM.Wa Visiwani wako wapi!
MUNGU ANAFANYA KILA JAMBO KWA KUTUMIA WANADAMU. HATA KWENYE SWALA UUMBAJI KWA SASA ALISHABADILISHA, HUWA ANATUMIA VIUMBE WA KIKE NA WA KIUME.Mungu asipoulinda mji aulindaye akesha bure.