Wafahamu kwa Majina Makamu Wenyeviti Tangia Kuasisiwa Kwa CCM 1977. Ujue Kwanini Ameteuliwa Mzee Stephen Wasira na wote wamezaliwa kabla ya Uhuru

Duuuuuh kweli ndo tumefika huku siamini hata kidogo naomba kufahamu japo kidogo mashiko ya utendaji wake toka enzi za Nyerere kweli nyota na uchawa huamua si utendaji
 
Haidhuru ukituwekea
Nina mambo mengi sana ya kuweka muda huu mpaka muda hautoshi kabisa.hapa bado sijaweka uchambuzi wa uteuzi wa Mheshimiwa Stephen Wasira,bado sijaweka nini watanzania watarajie baada ya uteuzi huo n.k.
 
Was it necessary to have that good for nothing, sycophantic, academic retarded, mzee as makamu mwenyekiti!
Ccm is dead, ipo inaoza! Asilimia 75 ya population ni vijana under 40! Unachagua makamu jitu la miakq 80+! Samia alitaka jitu kilaza,litakolokuwa kila kitu ni ndio mzee!
Kwa, wasira hii nafasi ni kama fadhila, kumtoa kwenye umaskini wake! Kwa nini asingeteuliwa Mark mwandosya, au Elvis Mwamunyange(CDF wa zamani, tunajua ni mwanaccm),! Pathetic
Acha kudharau wazee.Wazee ni hazina.Usione tunaishi kwa amani ukadhani ni busara za vijana tu ndio zinaongoza nchi.Ina maana hata baba yako humuamini kuwa ana busara za kuweza kuongoza familia yenu?Mbona ukirudi kule kijijini kwenu unawapigia wazee wako magoti na kuwaomba wakumiminie baraka zote.Kwa hiyo kwenye siasa tu ndio uone wazee hawana thamani.
Ndoa zenu zikiyumba mnakimbilia wazee kuokoa jahazi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.

Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.

Ni nafasi ambayo hushikwa na imeshikwa na watu wenye kuijua vyema historia ya Taifa letu ya wapi tumetoka ,wapi tulipo na wapi tunakwenda . Ni watu ambao walizaliwa kabla ya uhuru na hivyo wana uchungu mkubwa sana na chama hiki pamoja na Taifa letu.

Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu .ni watu ambao kwao ni Taifa kwanza mtu baadaye.Ni Chama kwanza na maslahi ya mtu baadaye. Ni watu ambao wanajua misingi ya CCM kwa undani na pengine wamekuwa Sehemu yake katika kuitengeneza.

Ni watu ambao wameshiriki pengine katika kuandaa au kutoa maoni katika ilani za CCM katika miaka yote .ni watu ambao wanajua misingi ya Taifa letu na wanatambua CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Na ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa letu. na kwamba ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kiongozi bora ni lazima atoke CCM.View attachment 3205352

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Unasema, “Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu…” Really?

Hivi kwa Kinana kutelekeza meli katikati ya bahari sio kitendo cha usaliti? Mtu asiyekuwa Msaliti ataifikisha meli bandari salama na kuikabidhi kwa nahodha mwingine. Kinana pia amehusishwa na tuhuma za uwindaji haramu wa wanyamapori wetu. Kama hizo tuhuma ni za kweli, basi sio kweli kwamba Kinana ni mmoja wa watu ambao hawawezi kulisaliti taifa letu.

Kufanya usaliti kwa chama ni kufanya kitu gani hasa? Hivi wakati ule Wasira alipohamia NCCR Mageuzi na kuwa mpiganaji wa jeshi la adui yake CCM hakufanya kitendo cha usaliti kwa chama chake?
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.

Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.

Ni nafasi ambayo hushikwa na imeshikwa na watu wenye kuijua vyema historia ya Taifa letu ya wapi tumetoka ,wapi tulipo na wapi tunakwenda . Ni watu ambao walizaliwa kabla ya uhuru na hivyo wana uchungu mkubwa sana na chama hiki pamoja na Taifa letu.

Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu .ni watu ambao kwao ni Taifa kwanza mtu baadaye.Ni Chama kwanza na maslahi ya mtu baadaye. Ni watu ambao wanajua misingi ya CCM kwa undani na pengine wamekuwa Sehemu yake katika kuitengeneza.

Ni watu ambao wameshiriki pengine katika kuandaa au kutoa maoni katika ilani za CCM katika miaka yote .ni watu ambao wanajua misingi ya Taifa letu na wanatambua CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Na ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa letu. na kwamba ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kiongozi bora ni lazima atoke CCM.View attachment 3205352

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
MUHIMU
HUYU MAKAMU MWENYEKITI WA SASA APEWE ULINZI ULIO NA NYONGEZA KIDOGO UKILINGANISHA NA WATANGULIZI WAKE WOTE
ULINZI WA HUYU WA SASA INABIDI UONGEZWE KIDOGO
 
Mungu asipoulinda mji aulindaye akesha bure.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Hawa ndio Makamu Wenyeviti wa CCM tangia Kuasisiwa kwake Mwaka 1977 Februari 5.

Ukiwatazama tu na kufuatilia tu historia zao na heshima zao katika Taifa letu .utagundua kuwa nafasi hiyo haijawahi kushikwa na mtu mwepesi mwepesi na asiyefahamu historia Ya Taifa letu.

Ni nafasi ambayo hushikwa na imeshikwa na watu wenye kuijua vyema historia ya Taifa letu ya wapi tumetoka ,wapi tulipo na wapi tunakwenda . Ni watu ambao walizaliwa kabla ya uhuru na hivyo wana uchungu mkubwa sana na chama hiki pamoja na Taifa letu.

Ni watu ambao hawawezi kulisaliti Taifa letu pamoja na chama chetu .ni watu ambao kwao ni Taifa kwanza mtu baadaye.Ni Chama kwanza na maslahi ya mtu baadaye. Ni watu ambao wanajua misingi ya CCM kwa undani na pengine wamekuwa Sehemu yake katika kuitengeneza.

Ni watu ambao wameshiriki pengine katika kuandaa au kutoa maoni katika ilani za CCM katika miaka yote .ni watu ambao wanajua misingi ya Taifa letu na wanatambua CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni kwa mamilioni ya watanzania.

Na ndio chama kilichobeba hatima ya Taifa letu. na kwamba ni CCM pekee yenye uwezo wa kuliongoza Taifa letu na kiongozi bora ni lazima atoke CCM.View attachment 3205352

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
SIHITAJI KUYAFAHAMU MAJITU YALIYOFILISI NCHI
 
Wa Visiwani wako wapi!

Back
Top Bottom