Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Kwa wale tuliokulia mtaani huwa tunasema mhalifu, mhuni,msela, malaya n.k akiamua kutulia na kumrudia muumba basi ameamua kutoka moyoni na siyo kuigiza!

Naamini umemrudia muumba coz mwisho wa siku hamna jipya hapa duniani!
Kabisa enzo1988
Tumeamua kutulia tu
 
Hamsomagi nyuzi zangu za nyuma?
Niliwahi toa hiyo nafasi.
 
Ndio, najua.
Mkuu kuna kipindi zamani nilipita pale Corner Bar, Kijitonyama, wakati inachanganya sana. Da sikuamini. Kulikuwa na mpaka watoto wa shule za sekondari. Nilikuwa nakatiza basi dada mmoja anaonekana ni kama teja akaanza kiniita.... ''hoya sasa braza ni aje.... njoo basi nikuambie, kuto&mb alfu tano na kufi"r alfu kumi, ukipungukiwa unasema vile vile....''
 
Mtumeeee!!!
Jamani ni hatari zaidi
 
Kw heshima naomba ujibu maswali ya huyu memba yana uzito saba tena moja baada la lingine kama ukiweza achana na huo uzi uliopita leo tuko hapa
 
You must have a clear verification of your contents and contexts before sending it to the audience.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
which verification is that gentleman while we always travel across Africa freely with no restrictions?πŸ’
 
Kila kitu kina faida zake hata kama hasara ni nyingi, wewe binafsi ulifaidika nini na hiyo kazi?

Uliliwa nyuma?
Kuna mahali kaeleza changamoto ambazo hawezi kuzisahau ni 2.
1. Kuelewana bei na Mteja kuondoka naye kwenda lodge ila ghafla alikuta Wateja wengi walioandaliwa kumla njia zote tena wengine hawatumii kabisa mipira.
2. Kufanyishwa ngono na wanyama.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Nimemaliza kushika udhu nakutana na huu uzi kmmkπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
 
which verification is that gentleman while we always travel across Africa freely with no restrictions?πŸ’
To start writing a sentence with capital letter like "which ❌ Which βœ…". Don't you even feel a shame from these minor cases?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
To start writing a sentence with capital letter like "which ❌ Which βœ…". Don't you even feel a shame from these minor cases?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
plz mwalimu,
you can go and deal with those issues within a specified platform?

avoid disturbing JF stakeholders πŸ’
 
has happens ❌️❌️

In this context:
has happened ❌️
happens βœ…οΈ
Something has happens ❌
Something has happened βœ…
Please kindly refer from the sentence quotation source.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
plz mwalimu,
you can go and deal with those issues within a specified platform?

avoid disturbing JF stakeholders πŸ’
Samahani sana Mkuu, mimi huwa napenda sana kusahihisha na kusahihishwa sababu naamini hakuna mwenye brain capacity perfection to do anything per 100%.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…