Wafahamu kwa uchache "Madada Poa" wa Barabarani

Samahani sana Mkuu, mimi huwa napenda sana kusahihisha na kusahihishwa sababu naamini hakuna mwenye brain capacity perfection to do anything per 100%.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
at least you have declered your interest mwalimu πŸ’
 
Kw heshima naomba ujibu maswali ya huyu memba yana uzito saba tena moja baada la lingine kama ukiweza achana na huo uzi uliopita leo tuko hapa
Leo sio muda wa kujibu maswali.
 
πŸ™ŒπŸ™„
 
Mdada wa road unampwleka makaburibi au uwanjani ,usimpeleke guesti ndugu yangu
 
Hapa ni kupromote na wala sio kufunza jamii forum imejaa wahuni wengi wastaarabu ni wachache mnajificha kwenye I'd fake

Acheni kuipromote hii biashara ikigonga milangoni mwenu hamtaweza kukoment kama mnavyo comment hapa
 
Wauzaji hawapaswi kupongezwa kwa namna yoyote Ile maisha hayajawahi kuwa rahisi kuopt kuwa kahaba ni akili pungufu ya mtu sio ugumu wa maisha kuweni na standards
 
Hii sawa kwa faida ya members...

Cc: Mahondaw
 
Wauzaji hawapaswi kupongezwa kwa namna yoyote Ile maisha hayajawahi kuwa rahisi kuopt kuwa kahaba ni akili pungufu ya mtu sio ugumu wa maisha kuweni na standards
Hawa wajasiriamalii mkuu na kuna nchi wanalipa na Kodi

Watake radhi kabla ya kuendelea
 
Na ukiwato...wanamaliza WANASEMA Asante dady

Wanaenda kuoga kama GFriend zenu wakito...na
 
Wake zenu Wana miaka kadhaa hawajui kusema Asante hawajui

Kutoka......n kazi unapomaliza lazima mpeane Asante wale WANACHOFANYA n kudili na madhaifu ya ndoa mkuu

Ndioo maana wanunuwaji wengi sisi n wanandoa watiifu
 
Hawa wajasiriamalii mkuu na kuna nchi wanalipa na Kodi

Watake radhi kabla ya kuendelea
Hakuna ujasiliamali hapo ingekuwa hivyo mtoa mada asingeachana na huo upuuzi unaouita ujasiliamali
 
Ushalambwa sikioooo
Ushaotewa UCHAFU WA sikio nta kwa ulimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…