CHIEF MANGUNGU
Member
- Aug 20, 2018
- 20
- 20
ZANZIBAR SIYO NCHINchi 22 za kiarabu halafu umetaja nchi kumi tu .Halafu Somalia na Comoro nazo ni nchi za kiarabu?..Kama Comoro ni nchi ya kiarabu ungeijumuisha na Zanzibar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZANZIBAR SIYO NCHINchi 22 za kiarabu halafu umetaja nchi kumi tu .Halafu Somalia na Comoro nazo ni nchi za kiarabu?..Kama Comoro ni nchi ya kiarabu ungeijumuisha na Zanzibar
Lily wine,rick rose,50cent, pogba,kante, walifikaje kuleAcha ubishi usio naamaana wewe "" ..kutetea tetra ujinga tu ....""" Yule billali bin wabaa ...swahaba wa mtume ambaye alikuwa na asili ya Ethiopia alifikaje Makkah...wakati alikuwa mtumwa kule
Sawa mkuu, basi ngoja nikuletee reference ya Kanisani na JF CNN - Evidence of Africans' part in slavery - Oct. 20, 1995Leta ushahidi kwamba machifu waliwauza watu weusi kwa kubadilishana na kioo,usituletee upuuzi uliodangnywa na sheikh madrassa,hapa sio facebook
Namba mbili hapo Libya siioni na Iran si Waarabu.Habari zenu watu wa JF..
Leo tupate kujua kidogo kuhusiana na hawa watu tunaowaita "Waarabu"...Nimepitia pitia kidogo nchi zao na pia kusoma vitabu vyao vinavyoelezea maisha yao...haya yafuatayo ndio niliopata kuyafahamu kutoka kwa "waarabu":-
1.Neno "uarabu"-"arab" ni neno linalowakilisha asili/tamaduni/culture na sio rangi kama wengi tujuavyo.
2.Duniani kuna nchi 22 za kiarabu,yani waishipo waarabu nazo ni-Lebanon,Syria,Morocco,misri,Tunisia,Iran,iraq,Jordan,kuwait,Qatar,Saudi arabia,Somalia,Djibouti,Comoro,Sudan,Palestina,Mauritania,Algeria,Oman,UAE,Bahrain na Yemen.
3.Waarabu wote sio Waislamu,Na Waislamu wote sio waarabu..ingawa kundi kubwa la waarabu ni waislamu,wachache sana ndio wakristo na Wayahudi.
4.Waarabu ni watu ambao wanawaheshimu sana Wazee na Watawala wao...Ni mwiko sana kukosoa,kudhihaki na hata kumfokea mtu aliyekuzidi umri au aliye mtawala wako.Wana Heshima yenye hofu kubwa yaweza ikawa kuliko taifa zingine zote.
5.Sio Mataifa yote ya kiarabu vazi lao la utamaduni ni kanzu,la hasha,bali yapo mataifa ya kiarabu ni nadra sana kumuona mtu kavaa kanzu nayo ni mojawapo Syria,Misri na Lebanon.
6.Kwenye Lugha ya kiarabu,lugha/ishara ya mwili(body language) ni kitu muhimu sana kuliko hata maongezi yenyewe..Pata muda tizama clips zao.
7.Lugha ya kiarabu ni miongoni mwa lugha inayozungumzwa kwa mfanano karibia mataifa yote ya kiarabu...mfano kwenye kiingereza kuna kiingereza cha wales,australia,marekani n.k
8.Sifa kubwa ya waarabu katika ulaji chakula ni "kutumia mkono" yaani no kijiko no uma..hata awe tajiri kiasi gani dhana yake ya kwanza kwenye kula ni "mkono wake"..Hii imepelekea kupenda kuwa na hotel/migahawa yao mahsusi.
9.Ukiwa kwenye mkutano/meeting ni mwiko kutizama saa iwe ukutani au mkononi,ukifanya hivyo ni ishara ya kuwadharau walioko kwenye mkutano.
10.Mahusiano ya kifamilia/undugu yana nguvu sana kwa waarabu..kwa mfano unaeza kuta nyumba moja wanaishi karibia ukoo/yani bibi wa bibi mpaka babu wa babu na wajukuu wake.
11.Umri hauna nafasi katika kujitegemea yani kuwa huru na makatazo au amri au huduma za wazazi..yani mtu anaweza akafika hata miaka 40 lakini akawa anahudumiwa na wazazi wake.
12.kwa kawaida uchukua zaidi ya mwaka na miezi saba kujua lugha ya kiarabu kwa ufasaha.
13.kinywaji kikubwa katika nchi za waarabu ni kahawa...
AHSANTENI NI HAYO TU YA KWANGU....MENGINE KUHUSU WAARABU NAHISI TUTAYAPATA KUTOKA KWA WACHANGIAJI...[emoji120]
Unamaanisha kuwa Marekani kwenda kuuwa waarabu wa Iraq kwa kisingizio cha kumuondoa Saddam anaemiliki silaha kubwa za maangamizi ambazo baadae wakasema hakuwa nazo. Nakuekea hii mkuu, labda hawa mashekhe wa madrassaUna ushahidi??? Maana hata waarabu kuuawa na Marekani n Israel Ni choice yao,wamejitakia wenyewe
Wapo kwenye Umoja wa nchi za Kiarabu pia Comoros.Wasomali si waarab, never.
Dah nimeipitia hiyo document sijui atabisha nini. Kaufyata.Sawa mkuu, basi ngoja nikuletee reference ya Kanisani na JF CNN - Evidence of Africans' part in slavery - Oct. 20, 1995
Ndo Namsubiri apa aje anipe mrejesho wake, labda ana reference kutoka kwa Padre wake na JFDah nimeipitia hiyo document sijui atabisha nini. Kaufyata.
Foolish,unaniletea historia iliyotungwa na wazunguSawa mkuu, basi ngoja nikuletee reference ya Kanisani na JF CNN - Evidence of Africans' part in slavery - Oct. 20, 1995
Mmejitakia kwasababu ya upumbavu wenu,ndo maana bush alichinja waarabu laki mbili na bado anadunda uraianiUnamaanisha kuwa Marekani kwenda kuuwa waarabu wa Iraq kwa kisingizio cha kumuondoa Saddam anaemiliki silaha kubwa za maangamizi ambazo baadae wakasema hakuwa nazo. Nakuekea hii mkuu, labda hawa mashekhe wa madrassaView attachment 964346wamejitakia wenyewe? Mbona unaandika ukanisa hapa 😀
Kwa akili yako fupi ya madrassa huu nao Ni ushahidi,hivi are you mentally fit kweli?? Umesoma Hadi darasa la ngapiSawa mkuu, basi ngoja nikuletee reference ya Kanisani na JF CNN - Evidence of Africans' part in slavery - Oct. 20, 1995
Dini yenyewe ina mambo ya kioumbavu sijapata ona, uislamu Ni utumwa wa kifikraKuna watu wafia dini hunu sijapata kuona, yani kuna mtu anabisha macho makavu kabisa eti WARABU SIYO WALIOFANYA BIASHARA YA UTUMWA.. hii nchi ina watu wa ajabu sana....
Wapo kwenye Umoja wa nchi za Kiarabu pia Comoros.
Kigezo kikubwa kuwa nchi ya Kiarabu ni lugha. Somalia na Comoro nadhani lugha za pili ni Kiarabu, Unaweza kusahihishwa.
Umemaliza?Huu ndiyo ujinga wa waafrika wasiojitambua, wanapata faida gani kujiita waarab wakati waarab walishaambiwa na Mtume kuwa waafrika ni watumwa wenye pua zilizobondeka, Sahih Moslem: Vol. 9, Pg. 46 - 47. Na kwenye kitabu cha Hadith waafrika wako refered as 'raisin heads,' Bukhari: Vol. 1, number 662 na Vol. 9 namba 256, na pia waarab waliambiwa kuwa Mtume anawachukia watu weusi kwani wanamuudhi, Ishaq: Pg. 243.....yote haya yameandikwa kwenye vitabu vya Hadith na Qur'an lakini waafriak bado wanakuwa wajinga tu na hawataki kukubali ukweli. Mfano wewe FaizaFoxy hivi unapata faida gani kujifanya mwarab mweusi wakati hauthaminiwi hata kidogo? Whatever you do kujifanya mwarab bado unaonekana ni kinyago tu kwao kwa sababu ndivyo walivyoambiwa na mtume wao kuwa watu weusi ni watumwa tu, refer kwenye hizo references hapo juu, najuwa hautasoma kuogopa kujuwa ukweli.
.Huu uzi lazima ugeuke uwanja wa mabishano ya kidini.
Acha mnyanyaswe tu mpaka akili ziwakae sawa sababu na nyinyi hamjazuiwa kuwa na maendeleo na kuwaajiri waarabu na kuwanyanyasa mpendavyo.Waarabu ni watu wabaya sana.Wamewatesa sana Babu zetu.Na mpaka Leo hii bado wanawanyanyasa ndugu zetu waafrika.Makampuni yote ta Waarabu wanawanyanyasa waafrika.Hebu jiulize au waulize wanaofuga wanyama anavyoteseka mnyama akihasiwa na fikiria binadamu aliteseka kiasi gani alipohasiwa?